Serikali kukopa Stanbic ni sahihi?

Tumeuzwa na JK, hapa ni sawa Baba achukue mkopo benki ,dhamana ni nyumba ambayo familia inaishi,then akatumie mkopo na nyumba ndogo yake uko dubai,oman etc.

Then tunapigwa mnada kama ifuatavyo:

Scenario in 2016 after Mr. Membe kuapishwa as President of URT na Mkulo kuwa Prime minister wa Tanzania:

- Mkoa wa pwani, unauzwa kwa waarabu,mfalme wa emirates-dubai
- Serengeti inapewa mwekezaji ili atusaidie kulipa hilo deni
- Barrick Gold wanapewa migodi mipya bureeee ili watu bail out katika huo mkopo.
 
Dhahabu bado hiko juu usd 1241.00/ounce na TZ ni nchi ya Tatu kwa uzalishaji Africa....

Mkuu hivi unaweza kusema Tanzania inazalisha dhahabu? yale machimbo, mkuu ni kama ile mbuga ya waarabu (EUA) ya ngorongoro.
 
Maneno ya Mkullo

He admitted that there were several areas that called for reforms in line with the donors' requests that includes cost of doing business, public finance management, legal sector reforms and the investment climate.

Mr Mkulo said the government plans to move in the National Assembly bills seeking changes on the Investment Act and provision of a legal framework on Private Public Partnership (PPP).


He admitted that there were several areas that called for reforms in line with the donors' requests that includes cost of doing business, public finance management, legal sector reforms and the investment climate.

Mr Mkulo said the government plans to move in the National Assembly bills seeking changes on the Investment Act and provision of a legal framework on Private Public Partnership (PPP).

He further said that there would be insignificant increases of tax in 2010/2011, reassuring traders and investors stability and prudence of the Fourth Phase government fiscal policies.


Kumbe all along wanajua matatizo yenyewe yalipo amazing, sasa mbona atuoni anything of that sort kuonyesha wanania ya ku implent hayo mambo aliyoyaongelea. Au ndio tusubiri bunge akatoe hayo mapendekezo yake.

 
Mkullo is not serious! :angry:

Hapa naona ni usani tu. Wamekaa vikao wiki nzima huddled in a corner like scared children, sasa anakuja to beat his chest and pretend it is not a big deal. Well Mr Mkullo, it IS a big deal. And it is not the amount but the principle that donors are no longer giving free money. In your place, I would be having some sleepless nights and even chest pains...

More debt means more future burdens, if we don't speak out now our generation will be cursed by future generations as the lamest in the history of our country!
 
Hivi wakikata misaada ina maana kina Kikwete watakopa zaidi? Hivi hawa watu hawajawahi kusikia kitu kinaitwa "kupunguza matumizi" au "kubana matumizi". why should you try to live beyond your means?
 
Hivi wakikata misaada ina maana kina Kikwete watakopa zaidi? Hivi hawa watu hawajawahi kusikia kitu kinaitwa "kupunguza matumizi" au "kubana matumizi". why should you try to live beyond your means?

Unajua mzee Serikali ya Tanzania imelewa na matumizi ya pesa kama umesoma concept ya utility inasema the more money you have the more expenses you are going to incur (marginal utility). Sasa wakati the rest of the world wanabana matumizi serikali yetu ndio kwanza inaongeza idadi ya wabunge bungeni. Inaongeza idadi ya matumizi yasiyokuwa na lazima serikalini na kuongeza safari zisizo na ulazima serikalini. Hivi umeshawahi kusikia bunge likapunguza matumizi? Serikali ikawa inasema reserves zimeongezeka but instead tunakusanya hela nyingi na matumizi nayo yanakuwa mara saba zaidi.

Kuna mentality ya kwamba serikali haiwezi kufa but excess debts, absence of productive economic sectors, seasonal agriculture vyote hivi vinaweza kufanya nchi isiwe na hela za kulipa madeni yake. Itabakia sekta moja tu nayo madini lakini madini royalties tunazopata ni 3% sasa tutalipaje madeni? Vilevile tukija katika huduma za jamii kama serikali haina sekta ya uzalishaji matokeo ni kwamba sekta ya huduma za jamii nazo zinaporomoka kwani sekta ya huduma ni very sensitive to economic shocks. (Mfano mzuri UK inavyoyumba).

Sasa unakuta sana sana kama madeni tutalipa is through negotiation na wadai kwa kumiliki labda madini fulani uzalishaji wake unaenda kwa mabenki husika kulipa madeni na huko kwa lugha nyengine ndio kuuzwa kwa nchi!!!!!!
 
Hii serikali haina displine ya matumizi yaliyoidhinishwa kwenye bajeti. Na kibaya ni serikali iliyoundwa na watu ambao kwa mtazamo wangu hawajui wanafanya nini. Kila kitu ni kubahatisha tu ndio maana katika ngwe hii ya kwanza wamemaliza akiba yote Mkapa aliyoiacha hazina na hawana hata hela ya kuendesha serikali. Wanavuna waliyopanda....walikuwa kila siku wanatembea nje wakasahau kuhakikisha nyumba iko safi.

Hizo ndizo gharama za mambo kama yale ya kutalii kwenye bembea na kusahau kama nchi inatakiwa iendeshwe kwa kufuata umakini na utaratibu ili tufike tunakokwenda.
 
"Technically, we have already spent the money that we are supposed to be given during the next financial year (2010/2011) in the wake of economic recession..and for that reason we are now sourcing the funds elsewhere," he said.

He admitted that there were several areas that called for reforms in line with the donors' requests that includes cost of doing business, public finance management, legal sector reforms and the investment climate.


Mr Mkulo said the government plans to move in the National Assembly bills seeking changes on the Investment Act and provision of a legal framework on Private Public Partnership (PPP).


He, however, said reforms in various areas have already been carried out in public finance management, local government finance and establishment of the post of internal auditor general at the Treasury.
Mkullo ni usanii tu hapa!

Angetoa breakdown ya hayo matumizi, wizi mtupu. People and donors have lost faith with the current government..Na kweli huo mkopo terms zake vipi??? Tunawapa Benki business, sasa na 10% ?

Tanzania Tanzania...
 
He told a news conference in Dar es Salaam yesterday that the government was in final talks with the Stanbic Financial Group that has agreed to issue a loan to be repaid in five years.

Kwa maana hiyo, miaka 5 ijayo tutakuwa tunalipa deni la budget ya 2010/11. Hii inamaanisha kuwa 2016/2020 tutakuwa tuanalipa denila la budget ya 2011/12, na 2021/2025 deni la 2012/2013, ..... na 2036/40 ndio tuatakuwa tunakamilisha kulipa mkopo wa budget ya 2015/16.

Kwanini huyu Waziri hakutoa mikakati ya kuepukana na hili? Serikali imejiandaa vipi kupunguza matumizi yasioendana na dunia yety ya tatu. Hii ya kutumia miaka 25 kulipa madeni ya serikali ya kikwete ya 2011-2015. Haikubaliki. Kwanini waTanzania tusiinuke na kumwambia inatosha, akaendeleza mashamba yake manasi na kutia joto mabangaloo yake huko Chalinze?
 
Mpaka muambiwe kuhusu reforms, kwani nyinyi mulisoma shule zipi... I hate this. :angry: Au ndio yale yale ya kuzingatia warsha, mikutano zaidi? sasa yamewakuta.
 
Hongera Mufuruki, Ms Sinare na B Awele na uhakika mtakua billionere milele .chajuu chenu hehehehehe

Kaka tunajua ni wazi wana ten percent zao hapo but je is it fair? Serikali gani inaona priority kwenda kukopa katika Commercial Banks wakijua kabisa kuwa watachajiwa rate kubwa instead of kwenda kukopa katika development institutions?

Vilevile kwanini hawaendi kukopa huko kuna nini au tuna madeni makubwa kiasi kwamba hatukopesheki? na kwanini tukope kwani hatuwezi kubana matumizi? Mnaweza kuwa mabilionea but ubilionea katika society iliyonuka umaskini nadhani haitakuwa na furaha. Watoto watacheza na akina nani? wewe utaenda wapi kutembea?

Je usalama wa nyumba na mali zako? You can be rich but unhappy with your wealth given that you are living in an environment full of poverty.
 
Kwa taarifa yako hasira za wananchi ndiyo zilizofikisha hali ya uchumi wa ugiriki kifikia hali ya sasa kwani serikali yao iliwaongeza mishahara wafanyakazi na pia matumizi makubwa yalifanyika katika sekta ya uma mwisho wa siku serikali ilikuwa inatumia zaidi inavyozalisha hivyo kulazimika kukopa kufidia short fall matokea yake ni hayo.
Hivi kwa nini CCM isijiuzulu na kutengeneza serikali ya MSETO iliyo na viongozi bora?

Ngoja yaje ya GREECE ndiyo watafahamu hasira za wananchi.

Hapo lazima ufahamu kuwa NUSU ya hizo hela ni hela ya TAKRIMA na Rushwa za uchaguzi.
 
Mpaka muambiwe kuhusu reforms, kwani nyinyi mulisoma shule zipi... I hate this. :angry: Au ndio yale yale ya kuzingatia warsha, mikutano zaidi? sasa yamewakuta.

Kasheshe unajua there is big difference between kusoma na kuelimika. Wasomi wetu wengi ni mabingwa wa kutengeneza CV kubwa kubwa but mchango wao katika jamii ni mdogo na mfano hai ni ufisadi unaonendelea kwani ni wasomi walioko behind it. Sasa unadhani hawa jamaa watakuwa na ethics za kufikiria jinsi ya gani ya kuliokoa taifa? Siku hizi kila msomi anataka kula vijana wanaajiriwa mwaka moja anaendesha prado. Msomi anasoma akiwa na mawazo ya kuiba serikalini.

Tukija kwenye hii crisis ya liquidity unakuta kwamba jamaa wameona ni rahisi kukopa katika benki but at the expenses of paying a higher interest kwani jamaa wanachaji rate ukicompare na development banks. sasa sijui imekaaje hapo
 
Drastic measures to save Sh270bn

By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN


The government is introducing a number of drastic measures aimed cutting spending in order to plug the revenue collection gaps and to cover for the budget support cut by donors.

The Citizen has reliably learnt that for two days this week, permanent secretaries from all ministries held a closed door meeting chaired by the Chief Secretary at State House in which the measures to cut costs were agreed.

The meeting came out with resolutions on three areas which would see the government ‘raise’ Sh270 billion. This month General Budget Support donors said they will reduce funding for the forthcoming financial year by $220 million (about Sh308 billion).

Some of the agreed issues were not new but the meeting agreed that this time the ‘enforcement’ of the issues should be strict in order to make sure the savings are obtained.

A source from the meeting, who declined to be named, said areas that the government would look to save funds include fuel used to run government vehicles, foreign trips by top executives as well as seminar and workshops.

Under the new government vehicles uses regulations, apart from the top three officials in the ministry, namely the minister, deputy minister and a permanent secretary, the remaining cadre would be required to use private cars with the government allocating allowances for fuel.

The source hinted that measures taken on checking on the use of government vehicles and consumption of fuel would enable the government to save up to Sh56 billion in a year.

Referring to the current situation, the official said for instance that the ministry of Natural Resources and Tourism alone uses 20,000 litres of fuel each week. Factoring in inflation, the government has pegged the price of a litre of petrol at Sh2,500, meaning that this ministry alone spends Sh50 million on fuel each week.

“We have agreed that in each ministry only three top officials, the minister, deputy minister and a permanent secretary should be entitled to fuel. Others will be required to use alternative transport which does not consume a lot of fuel,” said the source.

This move would see drastic reduction on the use of fuel guzzling luxury vehicles, something which many people have been advising the government to do.

In the meetings held on Wednesday and Thursday, the permanent secretaries also agreed to put controls over the workshops, which was found to be another area where a lot of government funds were used without meaningful returns.

From now on, it has been agreed, the Prime Minister should strictly resume the role of scrutinising applications for seminars and workshops.

“Workshops and seminar can only be held after being sanctioned by the Prime Minister,” said the source.

Recently the Prime Minister reported that the government had saved about Sh5 billion, after cutting down expenditure on purchasing government vehicles. He, however, admitted that the exercise had met some resistance from some government officials.

Another area, which the government looks forward to save billions of shillings, is control over overseas travels by government officials.

From now onwards, government officials who want to travel abroad, including ministers, should seek permission from the Prime Minister’s Office.

“Those wishing to travel abroad should persuade the Prime Minister that the trip has economic benefits to the country which cannot be attained without it. The Prime Minister will be the sole authority to sanction overseas travels for government officials,” said the source.

The source said the Chief Secretary had issued a notice some months ago on foreign trips which is very clear and if followed the country can save a lot of money.

“We have agreed that if a minister wants to travel abroad on government issues then the Prime Minister should endorse the trip after evaluating its benefit to the country… if that is strictly adhered the government can save up to Sh1 billion,” the source said.

He added that the Chief Secretary has been empowered to approve foreign trips of Permanent Secretaries with directors have to get permission from their respective Permanent Secretaries.

But it has been agreed that all foreign trips have to answer all doubts including how the country will benefit out of that trip and soon after the return of those who have been allowed to travel abroad, they should write a report about the trip indicating how the country was going to benefit.

“It has been observed that most of those foreign trips are being used by officials as conduit to get money... they don’t care about the benefits to the country,” he said noting that there were some government officials who have been travelling outside the country 16 times in a year.

According to the source the Tourism and Natural Resources ministry spent Sh1.2 billion for foreign trips only in the last financial year.

A recent report by Policy Forum, a non-governmental organisation based in Dar es Salaam, said the foreign trips had become quite lucrative for public officials. It said each official was earning between Sh403,000 and Sh546,000 daily while overseas on government business.

According to the report, the office of the President and cabinet secretariat is the highest recipient of funds for allowances, and will gobble up to Sh148.7 billion this financial year alone.

The national assembly is the second with Members of Parliament and staff earning a total of Sh36.8 billion in allowances this year. Their vote rose by 40 per cent over the Sh26.3 billion allocated in the previous year.
 
bubu but at least wameliona tatizo ni jambo la kupewa motisha pengine wataweza kung'amua kikwazo kiko wapi!!!! But sio kukimbilia kukopa na kuliingiza taifa katika zimwi la kuwa na madeni ya ndani
 
bubu but at least wameliona tatizo ni jambo la kupewa motisha pengine wataweza kung'amua kikwazo kiko wapi!!!! But sio kukimbilia kukopa na kuliingiza taifa katika zimwi la kuwa na madeni ya ndani

Wameliona tatizo baada ya nchi za wafadhili kupunguza msaada wao!!!!? wakati Watanzania tumekuwa tukiwaambia wapunguze matumizi ya kifahari miaka mingi iliyopita. Walikuwa wapi miaka yote iliyopita kupunguza safari zisizo na tija hadi leo hii? Wana nia kweli ya kupunguza matanuzi au ni danganya toto kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi!? Wapunguze na mishahara na marupurupu yao na pia kuongeza kodi kwa "wachukuaji" katika mawasiliano na madini.
 
Wameliona tatizo baada ya nchi za wafadhili kupunguza msaada wao!!!!? wakati Watanzania tumekuwa tukiwaambia wapunguze matumizi ya kifahari miaka mingi iliyopita. Walikuwa wapi miaka yote iliyopita kupunguza safari zisizo na tija hadi leo hii? Wana nia kweli ya kupunguza matanuzi au ni danganya toto kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi!? Wapunguze na mishahara na marupurupu yao na pia kuongeza kodi kwa "wachukuaji" katika mawasiliano na madini.

Bubu nakubaliana na wewe asilimia 100 but si unajua serikali yetu wazawa tukipiga makelele tunaonekana mahasidi au maadui wanakuwa wanaziba masikio. Wanaowapa kula wakisema wanasema jamaa wana akili kweli wameliona hili!

Tulikuwa tukipiga kelele ufisadi we mwishoe wazungu walipotishia kutotoa pesa tukaona mascandal yalivyoshughulikiwa, na hili pia ila tatizo la nchi yetu inafanya kazi kiusanii. Marupurupu nadhani ni nyanja moja ya kupunguza gharama za serikali njia nyengine ni kupunguza ukubwa wa serikali. Tukianzia na wabunge Bunge letu ni moja katika mabunge makubwa kuna majimbo hata hayajulikani but ni wabunge sasa hili linaiangukia serikali kubeba msalaba wa kuwahudumia. Tuje serikali yenyewe mawaziri kama digidigi kibao wengine hata hawajulikani wanafanya nini!

But at least wamegundua penye tatizo ni wapi sasa tunawasubiri wajirekebishe pengine watayaona mapungufu nayo but kazi ipo Tanzania
 
Kupunguza ni rahisi mno
1. mashangingi mengi yauzwe yabakie machache tu yatakayokuwa yanatumiaka kwa safari maalumu. Yatumike magari madogo kama Honda VCR, RAV4 n.k. Ni magari yanayokidhi haja ya usafi ndani ya miji, hata vijijini. Ni rahisi kwa bei na uendeshaji, ikiwa ni pamoja na matumizi kidogo ya mafuta.

2. Kupunguza viongozi wanaotumia tickect za first class kwenye safari zote; hili linaweza kubakizwa kwa Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu tu. Wengine wote wasafirie economy.

3. Kuondoa msaada wa 50% wanaopewa wabunge kununulia magari yao. Pia watakiwe kulipia angalao VAT ya magari yao wanayopewa wakati wa ubeunge wao, kwani gharama za kuyaendesha haya magari hulipwa na serikali na wao huyatumia muda kidogo sana kwa manufaa ya Watanzania.

4. Wapunguze allowances kwa asilimia 50% kwani kwa sasa budget ya mishara zaidi ya 50% ni allowances tu

5. Wapitie upya mishahara na marupurupu, kuhakikisha kuwa hakuna mfanyakazi/kiongozi anaepata marupurupu yanayozidi take home ya mshahara wake. Haiwezekani unapata mshara wa 100,000 halafu unapata allowance za 400,000, kwani mshahara ndio kipimoja cha kuishi cha mfanyakazi

6. Waondoe misamaha katika shughuli za madini n.k n.k

7. Kuhakikisha kuwa bidhaa na huduma zinazonunuliwa na serikali zinapatikana katika bei ya soko, na sio yenye cha juu. Unakuta kitasa cha 5000 Kariakoo; supplier anaiuzia serikali kwa 30,000, ikiwa ni mara 6. N.k, N.K

8. Waache kufikiria matumbo yao na vimada wao.


*** Hiyo budget na uchache wake, ingepanua barabara ya Morogioro kwa kiwango chan njia 4 kutoka Kimara-Dodoma

Tunaweza kuserve
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom