joseph_watu
New Member
- Mar 20, 2012
- 2
- 2
Serikali imefanya vizuri tuwa na mpango wa kufufua reli tena ni vizuri sana...yaani kitaalam hiyo ndio njia kuu na rahisi ya kusafirishia mizigo. Tena kwa bei nafuu kwa sababu tutapunguza matumizi yasiyo ya lazima ya barabara yetu na pia hata matumizi ya mafuta kwa malori yatashuka.
Ushauri wangu kwa rais na waziri ni kuwa wajitahidi waweke mfumo mzuri katika utaratibu wa reli (uongozi)ili mapato yawe hayapotei na matumizi yawe halisi na pia vipuri, vifaa mbalimbali vya train visiwe vinaibwa na watu...na pia usalama wa taifa wapewe kazi ya kuwa wanapeleleza juhudi za watu wowote kuujumu hiyo reli na shirika kwa ujumla.
Ikiwezekana serikali itafute consultant atakaye saidi kuwaandalia finance and operation manual...ya uhakika...na pia ikishaandaliwa kunakuwa hakuna longolongo ni kuifata kama ilivyo.....