Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Katika hali ya kuchanganyikiwa serikali imezidi kuhaha katika kujaribu kuudanganya ulimwengu kuhusu mauaji ya raia yaliyofanywa na polisi jijini arusha
serikali mkoani arusha Iliwaagiza maofisa watendaji pamoja na wenyeviti wa mitaa kuwahoji wananch madhara ya tukio zima la tarehe nane,na nani alihusika,katika mikutano hiyo hakuna mwananchi aliyejitokeza,na kwa baadhi ya kata wakijitokeza wachache,lengo la mikutano hiyo ni kuandaa ripoti iliyochakachuliwa inayoonyesha kuwa chadema walihusika na mauaji ya raia hivyo kukipunguzia umaarufu chama hicho,siku yoyote kuanzia kesho ripoti hiyo itatoka,,,,,,,,,
serikali hii imekosa uhalali wa kutawala,,,
mapambano yanaendelea