Serikali iwe serious

MASHOW

Member
Jan 20, 2012
34
1
Kitendo cha serikali kuendelea kupuuza mgomo wa madaktari na hatimaye nduguzetu kupoteza maisha ni kwamba kweli hawana fedha au hawana uchuungu na watz?Ifikie mahali serikali itenganishe SIASA NA MASUALA YA MAENDELEO NA HUDUMA ZA JAMII.mwito wangu ni kwa wale viongozi walio humu ndanii kuwashauri wakuu wao juu ya hili kwani ccm inaendelea kujichimbia kaburi
 
Back
Top Bottom