Serikali isitumie vyombo vya habari kumnyamazisha Cardinal Pengo

ADAM MILLINGA

Senior Member
Apr 27, 2011
117
13
Habari zenu wana JF,

Naomba nisionekane mdini kwa topic yangu ya leo kwani kwa kipindi cha miezi mitatu sasa magazeti yamekuwa yakimripoti askofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam, Cardinal Pengo kujiusisha na biashara za madawa ya kulevya.

Cha kujiuliza sasa ni kama polisi wameshapata uthibitisho wa jambo ilo kwanini wasichukue hatua badala ya kutumika vyombo vya habari kumchafua kila siku?

Kwakuwa amekua akikemea serikali kwa uovu unaofanya ndo leo waseme wanamjua kuwa anajishughulisha na madawa ya kulevya?

Jamani serikali tuache mambo hayo tumeanza wenyewe kwa wenyewe sasa mnaingilia viongozi wa dini? Mlianza na Dr. Rwakatare mliishia vipi? Ifike kipindi serikali ikubali maovu yake na sio kuyakataa kwa kutaka kuziba watu midomo, maoni yangu kwa askofu ni kutaka kumwambia, askofu Pengo tunakuamini na pia mchezo mchafu wa watawala wa Tanzania tunaujua awajauanza kwako usikome kuwaambia ukweli kwani panapo ukweli uongo hujificha.

Siku njema members wenzangu.
 
Hii issue iko wazi, Serikali ya JK inafanya makusudi kumchafua Cardinal Pengo, hakuna asiyejua kuwa watoto wa mamdogo ndiyo wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya.
 
Kwani pengo ana watoto wangapi?

hivi magaidi mnatumia njia gani kujificha wamarekani wasiwakamate.....kwani nasikia ulihusika na shambulio la Yemen, pia nasikia ni wewe uliyemuua polisi wa Tanzania kwenye maandamano ya CUF 98 ndio maana ukakimbilia Oman.

sijui kwanini utafutwi na mahakama ya mauaji ya haraiki
 
Hana jipya huyo Pengo wenu TEJA mkubwa huyo
we pachoto kwanza ni mgeni kwenye forum hii sikusema pengo kwa sababu mimi ni mkristu no bali hata kama wange msingizia mufti ningewakemea kwan serikali yetu haina dini hivyo isituchonganishe na viongoz wetu wa dini haijalishi wakristo au waislamu ila tu wote ni viongozi wa dini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom