Serikali isikilize na kujibu hoja zinazotolewa na mbowe sasa hivi bungeni.

Ras Cutty

Member
Nov 12, 2010
42
10
Serikali inatakiwa kusikiliza kwa makini maoni ya watu makini na wasio na woga na wawakilishi wa ukweli wa wawatanzania inayowasilishwa sasa hivi bungeni na kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman A. Mbowe. kKwa kweli anaongelea mambo yote amabayo watanzania tunatamani serikali ya ccm iyazungumzie ila kwa kuwa imekuwa kipofu serikali yetu haiyaoni haya.
Hivyo wadau na hasa vijana tusikilize na kuratibu ndio mtaamini jinsi gani serikali ya magamba ilivyo kiziwi na kupenda siasa chafu. watayakataa na kuyapinga maoni haya.
 
Back
Top Bottom