Serikali isifanye hii..............teheteh

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,415
Mmetuletia maji mgao tumekubali!

Mmetuletia umeme mgao tumekubali!

Mmetuletia mafuta mgao tumekubal

ila chondechonde msituletee mgawo wa bia patachimbika maana ndo serikali inayotusahaulisha migawo mingine.

Serikali fedha haina ,nguvu haina ,msimamo haina sawa ! sasa hata mikwala tuu haina iwapige wauza wese aaah
 
Back
Top Bottom