Serikali inaweweseka kwa ujumbe wa Kikosi cha watu 2,858 cha ukombozi.

Mimi hapa nipo kama mwanachama wa jf nawatahadharisha tu uhaini ni kosa so muwe waangalifu mnachopost..

jf inatofauti kubwa na ze utamu.

ze utamu alikuwa Blogger .. and he was responsible na chapisho lolote analoandika...

jf ni forum soma angalizo la kina invisible hapa chini kina invisible wameweka wazi kwamba wao hawatakuwa responsible na post toyote likitokea la kutokea ip zipo recorded

1. Site members and visitors shall remain solely responsible for the content of your messages, and you agree to indemnify and hold harmless this forum and their agents, including but not limited to its owners, operators, administrators and moderators with respect to any claim based upon any post you may submit. JAMIIFORUMS reserves the right to reveal any information we have about you in the event of a complaint and legal action arising from any message that you may post. Please also note that all IP addresses are recorded when items are posted.

‪2.‬JAMIIFORUMS shall not be liable for any statement, misstatement, inaccuracy or omission of any type for any content submitted by a site member or visitor on any forum. JAMIIFORUMS bears no responsibility for accuracy of comments of any participants and will bear no legal liability for discussion results.

‪3.‬If you participate in any forum on the site, you warrant that you will not:
Defame, abuse, harass or threaten others
Make any bigoted, hateful, or racially offensive statements
Advocate illegal activity or discuss illegal activities with the intent to commit them
Post or distribute any material that infringes and/or violates any right of a third party or any law
Post or distribute any unethical, pornographic, vulgar, obscene, discourteous, or indecent language or images

‪4.‬You are responsible for ensuring that any material you post on JAMIIFORUMS (text, images, or other multimedia content) does not violate or infringe upon the copyright, patent, trademark or any other personal or proprietary rights of any third party, and is posted with the permission of the owner of such rights.

‪5.‬The contents of messages will not be changed or altered by the JAMIIFORUMS in any way. However, JAMIIFORUMS reserves the right to delete any messages it believes are unsuitable in content. If you find any posts objectionable or offensive, please contact the forum administrator.

‪6.‬JAMIIFORUMS does monitor the messages on the forum on regular basis but if something seems not well evaluated please contact us. Those who wish to contact the JAMIIFORUMS should use this email:
Acha uoga wewe, nyıe Vırus wa mabadılko mlıkuwepo hata enzı zıle waasısı wa Taıfa hılı wanapganıa uhuru, tutaendelea kuwapuuza tu na hıı serkalı yenu lazma ıng'oke na wataufyata mkıa!
Vıjana tayalı walıshaanza kujkok kuıngıa kazını na nıtajıunga nao sıogopı kıtu nyang'au wala kıkalagosı coward lıke u!
Hata kwenye famılıa lazma kuwe na mtoa hela ya mboga ılı watoto wadogo kama wewe mkono uende kınywanı.
Tulıa tukutengenezee Nchı wewe.
Yaanı kwa mbaaaaalı naıona Tanzanıa yangu yenye neema!
Na nınasuggest bora Jemedarı wa jeshı la ukombozı Ndo ashıke hatamu ılı asawazıshe uozo wote ulıopo sahz kuanzıa mıkataba ya kızandıkı, mfumo dume wa uongozı na tuwafunge wote walıoıfuja Nchı hıı.
Heko Majemedarı sıku ıkıfıka count me ın front lıne ready for revolutıon.
Machalıı wangu wa Arusha,Mura woote mlıoleta mabadıko pale pande za Mwanza, wakuu pande za Mbeya(mwanjerwa,uyole na vıunga vyote) twendenı vıtanı sasa!
 
Hakuna mtu anayependa vita lakini jiulize kwa nini watu wanasuport haya yatokee kama umeshawahi kuishi maisha ya kukata tamaa nadhani utakuwa shahidi mzuri yani inafika wakati ambao unaona sawa kwa lolote yani kufa au chochote hali hiyo ni mbaya sana na sababu yake kubwa ni tofauti kubwa kati ya aliyenacho na asiyenacho,kutoaminika kwa watu waliokabidhiwa madaraka fulani,ufujaji wa mali za uma wa waziwazi,kuwanyima wanaichi kujua ukweli wa mambo hasa mabaya na pindi wanapogundua ndipo hupoteza kabisa uaminifu hupelekea kufikia hapo watu wanaposuport.
 
We kwelı mjınga!
Nakufananısha na kenge ambaye ılı askılızıe maumıvu ya kıpga nı mpaka atoke damu masıkıonı.
Unaegemea upande wa Serkalı ya CCM huyaonı haya madudu yanayoendelea?
Unataka tufanye nn sasa zaıdı ya kuwang'oa?
Nanı mhaını katı ya CCM na Wanajeshı hawa watııfu ambao wamechoshwa na madudu ya Serkalı?
Kubwajınga lenu lımefunıka mangapı tangu lııngıe madarakanı?
Ufısadı ulıopndukıa unaendelea kulıangamıza Taıfa letu sasa unataka tuwang'oe CCM kwa staılı ya Kupıga Kura ılhal kıla uchaguzı wanachakachua mfumo mzıma?
Umeusoma waraka au umekurupuka tu kutapka uharo hapa!
Hıma Jeshı langu nawapa baraka zangu zote na nınawaombea kwa Mwenyezı Mungu jalal awajaaalıe majemedarı hawa na yeyote atakae leta jeurı Auawe!
Twende kazı!
Mshabiki wa NGO ya Chademu naona povu linakutoka.
Ndo matatizo ya kula mbegu na kukimbia kilimo huko kijijini kwenu na kukimbilia Dar.
Mambo yakiwashinda mnaanza kulaumu kila kitu.
Tulizeni vipago,uivi na hali mbaya ya uchumi ilikuepo tangu enzi za Mwalimu, mboni hamkuleta chokochoko zenu?
Tulieni kama mnanyolewa ebo! mnadhani hii nchi ni ya kwenu peke yenu?
 
Hao hawachukuwi raundi, hii Tanzania waione hivihivi.

Na wasichukuliwe ki mzaha kabisa, wakishikwa ni mashitaka ya ugaidi moja kwa moja maana hii ni "terrorism" kutisha watu. Hukumu yao iwe kali sana na wengine wasithubutu huu upumbavu.
 
umerudi kwa kishindo. pole kwa kufungwa.....
 
Hao hawachukuwi raundi, hii Tanzania waione hivihivi.

Na wasichukuliwe ki mzaha kabisa, wakishikwa ni mashitaka ya ugaidi moja kwa moja maana hii ni "terrorism" kutisha watu. Hukumu yao iwe kali sana na wengine wasithubutu huu upumbavu.

isije ikawa ni wale wale wanaozunguka nae masikini jk mbona huyu mjomba ana hatari hivi kilichobaki asome alama za nyakati..
alamsiki..
 
Waziri anasema tuupuzie waraka huo akimaanisha viongozi nao wameupuuzia. Waraka kama huo ungetolewa kule USA ungesikia tahadhari zinavyotolewa na viongozi kwa raia wake. Kweli mdharau mwiba......................
Awali al-qaeda walisema watalipua marekana wakafanya hivyo,
Al saababu wakasema wataidhuru kenya wakafanya hivyo,
Leo hii 2858 wanasema watafanya kweli kwa uongozi wa nchi lakin waziri mhusika anasema tusiwe na wasiwasi, kweli????????????.
 
Back
Top Bottom