"Serikali" inapokwenda usingizini!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Tunajua sote serikali ni pamoja na Polisi.
Leo asubuhi makutano ya barabara ya AH Mwinyi na barabara ya Rose Garden nimeikuta "Serikali" imekwenda usingizi , tena mzito hata wapita njia walikuwa wakishangaa.
IGP Mwema inabidi aongeze mafunzo huko Moshi ili Crown isi dhalilishwe.
Inaelekea kutokana na vihela vya madereva barabarani, vijana hawalali usiku, katika jitihada za kuvishughulikia vihela hivyo.

CIMG0903.JPG
 
Ole wako akishtuka hapo, lazima apige mkono gari yoyote, pale hajasinzia yule anafanya budgeting ya pombe! Na madeni tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom