Serikali inacheza na swala hili!

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Je Kama kweli Serikali imedhamilia kuleta madaktari wa kigeni kuchukua nafasi ya hawa waliogoma kutokana na mazingira magumu ikiwemo maslai duni na kutokuwepo kwa vifaa mbalimbali hosp. Je kama Hao Madaktari kutoka nje ya nchi watakuja na vifaa?
Je Wauguzi watakubali kushirikiana nao? kwani wauguzi katika mgomo wa kwanza walipelekwa Madaktari wa Jeshi la Wananchi lakini Wauuguzi walionekana kutokukubali kitendo hicho. Je Wauguzi watakubali kushirikiana nao? Au ndio serikali inatafuta mgomo mwingine? Je itaweza tena kutafuta wauguzi kutoka nje ya nchi? Maswali haya yanapaswa kujibiwa na serikali ambayo inapanga mipango yake bila kuangalia matokeo ya baadae! Sio haja ya serikali kuendelea kulaumiwa kwa maamuzi mabovu.

Ni sielewi wanaopanga haya mambo wanafikiria nini? Na Je Hao madaktari wanautaalamu gani au kwakuwa watanzania ni vichwa vya wandawazimu basi tuwe watu wa majaribio kwa miili yetu. Mi sikubaliani kabisa na madaktari kutoka nje kuja kutupoka maisha yetu.
 
Tangu 2010 sina imani na serikali yangu, na sina uhakika kama mambo wayafanyayo huwa wanashirikisha wataalamu
 
Hili tatizo bado serikali inacheza nalo.Nadhani pale Ikulu amekosekana mtu mwenye BUSARA.
 
Back
Top Bottom