Serikali imeyafanyia kazi madai ya madaktari?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya ile siku ya tarehe tatu mwezi wa tatu najaribu kujiuliza ni kwa kiwango gani serikali imeweza kushughulikia madai ya madaktari?je tutegemee mgomo mwimgine wa madaktari?
 
Wakati ukitegemea mgomo toka kwa madaktari, tegemea na baadhi ya watu kuwekewa silaha ya maangamizi Pollonium-210!
 
WanaJF

Ni kuwa kama madaktari watakutana kesho 03.3.2012 kuongea na serikali

Asante saana serikali
Afya ya watanzania
 
Umetumwa kuja kudadisi? waambie waache kucheza na maisha ya watanzania, hizo propaganda wanazoendeleza zitasababisha maafa mengine.
 
kesho madaktari wanakutana kutathmini utekelezaji wa ahadi za pinda!
Acha kujinye@#nye@!subiri hiyo kesho
 
mlipewa wiki tatu hamkuona haja ya kukutana na madaktari leo hii unauliza upuuzi!
 
jibu la swali hili litapatikana kesho!katika ukumbi wa.....stay tuned natafuta info
 
Back
Top Bottom