Serikali imekiri kulemewa na wasomi!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Serikali imekiri kulemewa na idadi kubwa ya wasomi kuliko fursa za ajira zilizopo. Kauli ilitolewa Dar es Salaam jana na waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, wakati wa uzinduzi wa wiki ya Mifuko ya Hifadhi za Jamii kuelekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika. (Chanzo cha Habari; Gazeti la Tanzania Daima; 09/11/201
 
Too bad, mbona fursa kibao! aseme hawana maafisa mipango wanakidhi viwango vya hiyo nafasi.
 
Kwenye madini mbona nafasi wanapewa makaburu?mahotelini mbona ni wageni tu?Ma DC/RC mbona ni vibabu vistaafu?bodi za umma mbona mabosi ni wastaafu/wabunge?waalimu na madaktari mbona waliopo bado hawatoshi?NEC mbona haina watumishi mikoani/wilayani?iweje DED awe mwajiriwa wa NEC?...hizo zooote ni nafasi za ajira ama bado hawaoni?sie tunapotaka ajira tunamaanisha hizo nafasi na kama hawatupi sie vijana wakae chonjo
 
Kama nafasi zimejaa basi waanze kutoa mtaji ili tuanze kujiajiri,AKILI ZA MBAYUWAYU changanya na zako
 
viongozi wote wanafikili kwa kutumia masaburi...hawawezi kubuni ajira mpya....shame on masaburis¬!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom