Serikali imechoka kutangaza vivutio vya utalii, sasa inatangaza vivutio vya nje ya nchi.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,424
Gari la Naibu Waziri likitangaza vivutio vya utalii Shelisheli.
attachment.php
 
hivi magari mengine huwa hayafai kwa matumizi ya wakubwa wetu......
Kuna malandrover, nissan 4wd nzuri tu na mengineyo mengi.....kwani ni lazima iwe LC vx, gx au aina ya hizo....?
au na hiyo ipo kwenye katiba.....?
 
Ilani yetu ndivyo inavyosema.
hivi magari mengine huwa hayafai kwa matumizi ya wakubwa wetu......
Kuna malandrover, nissan 4wd nzuri tu na mengineyo mengi.....kwani ni lazima iwe LC vx, gx au aina ya hizo....?
au na hiyo ipo kwenye katiba.....?
 
HII NI AIBU JAMANI. WAZIRI HAJUI HATA MLENGO YA KIMAENDELEO YA TAIFA LAKE. Unawezaje kuitangaza nchi nyingine wakati kwetu panaharibika!
 
MadameX mbona huna roho ya uzalendo hata kidogo? Yaani tusiwajibike kwa kuwa tu tumepewa zawadi? Tuweke utaifa mbele, kisha maslah yetu binafsi yafuate.
 
Matukio haya mbona ni mengi hapa Bongo! Nakumbuka Mahita alipokuwa IGP aliwahi kuvaa kofia ya NYPD (New York Police Dept.) alipokuwa asst. referee (linesman) ktk mechi kati wabunge na mabalozi wa nchi za nje waliokuwa wanawakilisha nchi zao Tz.
 
Gari la Naibu Waziri likitangaza vivutio vya utalii Shelisheli.
attachment.php
mafisadi hawa wote an sitashangaa huyu waziri ana hisa kwenye kampuni la utalii linalopeleka watu huko...hii ni skendoo ya kujiuzulu kabisa hana uzalendo huyu mwizi na hawa ndio wanaosafirisha twiga wetu
 
Inawezekana hata huyu Waziri hajui maana ya matangazo, ye anajionea sawa tu! Transport Officer wa Ardhi ana kazi gani? na dereva wa Waziri je?
 
Matukio haya mbona ni mengi hapa Bongo! Nakumbuka Mahita alipokuwa IGP aliwahi kuvaa kofia ya NYPD (New York Police Dept.) alipokuwa asst. referee (linesman) ktk mechi kati wabunge na mabalozi wa nchi za nje waliokuwa wanawakilisha nchi zao Tz.

bora kofia haian direct effect kwnye uchumi wetu ila italii sio wa kitoto na utalii is all about advertisement
 
mafisadi hawa wote an sitashangaa huyu waziri ana hisa kwenye kampuni la utalii linalopeleka watu huko...hii ni skendoo ya kujiuzulu kabisa hana uzalendo huyu mwizi na hawa ndio wanaosafirisha twiga wetu
kama unakumbuka bwana mmoja alikuwa akiitwa Peter Kinyanjui (kama sikosei) enzi za Mh. Mrema, huyu jamaa alijipenyeza mpaka akawa katibu wa FAT (by now TFF) mpaka alipokuja kustukiwa.

Watz tuna matatizo mengi na ukianza kutaja mmoja mmoja kuna watu ambao interests zao ziko nje ya nchi na wanashikiria nafasi kubwa sana za maamuzi. Umoja na Amani inaelekea haujatumika kwa faida ya wengi bali wachache mpaka kufikia level ya kupoteza patriotism kwa kiwango cha kutisha kama hiyo wheel cover

Du, hii kali

Back
Top Bottom