SERIKALI imebaki na kazi ya kukata utepe?

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
Kila nikifungua gazeti au kuangalia tv, mara rais kafungua fnb benki, mara makamu wa rais kakata utepe kufungua tawi la nmb(kama ilivyooneshwa leo kwenye gazeti la mwananchi), mara utamuona maalim seif naye akizindua nini sijui!agghhh. Watanzania wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari wao wanadhani ni kazi ya maana sana kutembea na mikasi mifukoni kukata utepe!
 
Mgomo utapita mkuu, shusha pumzi
 
Aaah kzee mzima, so ulitaka watu wote kweli waende ukumbini kuongea na maDr? Acha na ishu zingine ziendelee
 
Ww ishu ya kukata utepe, kuweka jiwe la msingi, kufungua warsha n.k nchi hii tuna specialist wake nae sio mwngne ni mh.dr.makamu wa__________. a.k.a mzee wa mkasi au utepe.
 
Back
Top Bottom