Serikali ilitoa masharti magumu kwa mwekezaji wa umeme,source: ITV

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
820
1,335
Nimeshtushwa kidogo na taarifa ya habari ya saa mbili ya ITV,kua serikali ilitoa masharti magumu kwa mwekezaji wa umeme? Ni kweli jamani,kama ni kweli basi hii serikali ni wauaji,wala hawafai tena kuendelea kuwepo hapo!
 
Ndo maana tunamtaka Lowasa for 2015 presidence. Hatuhitaji watu wanaokwamisha badala ya ku-facilitate watoa huduma kwa manufaa ya nchi.
 
Ndo maana tunamtaka Lowasa for 2015 presidence. Hatuhitaji watu wanaokwamisha badala ya ku-facilitate watoa huduma kwa manufaa ya nchi.
Lakini kwa kweli enzi za lowasa alikuwa anachapa kazi,unakumbuka hii kero ya foleni jinsi lowassa alivyofanya bidii mara njia tatu,unakumbuka wakati ule wa ukame akafanya bidii na wale sijui wafinland kuhusu kutengeneza mvua,unakumbuka wakati ule wa shida kubwa ya umeme alivyofanya bidii kutuletea richmond na richmond ikafanikisha kutupatia umeme wa moja kwa moja?lowasa alikuwa haogopi kiongozi yeyote ambaye anaenda kinyume na maadili,unakumbuka wakati ule wa ile barabara ya sinza jinsi wakina makamba walivyopewa displine,mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni huyu jamaa alikuwa mchapa kazi,alikua anajali wananchi wake,kwa hiyo huyu jamaa hata kama alikuwa fisadi kama ni kweli na kazi alikuwa anachapa kwelikweli
 
lowasa mradi wa maji victoria mpaka kahama,hakuogopa mkataba wa mkoloni ku favour misri na sudan.mradi wa bomba za wachina dar lkn mpaka leo maji hayajaanza kupita kisa kaondoka
 
lowasa mradi wa maji victoria mpaka kahama,hakuogopa mkataba wa mkoloni ku favour misri na sudan.mradi wa bomba za wachina dar lkn mpaka leo maji hayajaanza kupita kisa kaondoka
Kwanza hesabuni ameiibia Tanzania kiasi gani kabla ya kumpamba na sifa. Jizi ni jizi tu halistahili uongozi hata kama ni lichapakazi.
 
Ndo maana tunamtaka Lowasa for 2015 presidence. Hatuhitaji watu wanaokwamisha badala ya ku-facilitate watoa huduma kwa manufaa ya nchi.
fisi umkabidhi bucha yaani lowasa!?mhh
 
Back
Top Bottom