Serikali hoi kifedha

Tatizo ni JK kavaa kiatu sio size yake.means uchaguzi alichakachua, kiti sio chake????????????????mh
 
Ndo mana madaktari na walimu mpaka leo wanasota mtaani au vijiweni wakitafuta vi200 kwa ajili ya kuendeleza maisha.
 
Mi ndo maana huwaga nawaambia watu tuache kushabikia siasa na ile nyumba ya sanaa(bunge), sasa mnaona faida yake. Bajeti imepitishwa kwa mbwembwe na gharama kubwa, only kujulikana pesa yenyewe - real money, haipo. Kitachofuata ni kuprint noti mpya kaa Mugabe. Hatua ya kwanza ya kutatua tatizo ni kukubali kuwa unalo tatizo.
 
Back
Top Bottom