Serikali hii imepatikana vipi?

Ciphertext

Senior Member
Apr 21, 2012
160
33
Wana JF naomba nishirikiane nanyi katika kutafakari jambo hili. Imeandikwa heshimu na kutii mamlaka zilizopo duniani kwani zimewekwa na Mungu. Binafsi nimekuwa naona sio sahihi kuchukulia usemi kuwa ni wa kweli ukitazama yanayoendelea hapa kwetu Tanzania.
Mambo yanayofanywa na viongozi yanaashiria kuwa hawana hofu ya Mungu na wanafanya wanavyoweza kana kwamba hawaongozi binadam wenzao. Je ni kweli Serikali hii inabaraka za Mungu? Kama sivyo imepatikana vipi?


Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom