Serikali haina Investment kwenye Gold lakini inawekeza kwenye kampuni ya Ndege!!!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,605
8,744
Serikali yetu ina maamuzi ya ajabu sana!. Je ni kwanini wasingekuwa na 20%-25% share kwenye Gold badala yake wanawekeza kwenye ATC ambayo ina ndege moja ya kokodi, moja mbovu na wafanyakazi wengi!!!. Je tunafikiria nini ndugu zangu bei ya Gold hatakama ikushuka itakuwa kidogo sana badala yake serikali inajiingiza kwenye biashara za ndege ambazo hazina faida kwa nchi. Pesa ya wananchi inatakiwa kuwekezwa vizuri na kwa kuangalia mbali badala ya kufanya uamuzi wa kufurahisha watu. ATC ni biashara ya kufurahisha macho ya Watanzania ili tu tuonekane tuna ndege badaya ya kuwekeza kwa manufaa ya baadaye.
 
Back
Top Bottom