varavara
JF-Expert Member
- May 29, 2012
- 605
- 484
kwa faida ya wananchi,serikali inatakiwa kujifunza namna ya kuepuka kutokea kwa migomo: chanzo chanzo cha migomo nini? serikali lazima ijue chanzo cha tatizo na kulitatua mapema sana(kinga ni bora kuliko tiba):matokeo ya tatizo(migomo) serikali inaangalia zaidi matokeo ya tatizo badala ya kutafuta chanzo na kutafutia ufumbuzi mapema kuepusha mtafaruku.NB: watanzania sasa wanaelewa,wanaelimika,wanafuatilia mienendo ya serikali kwa hiyo SERIKALI ya CCM kwa sasa inaugua mahututi, mpaka 2015 itakufa kabisa!