serikali bado inatathmini idadi ya hospitali zilizogoma

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
kuna zoezi linaendelea la wakuu wa mikoa kutakiwa kutoa taarifa juu ya hali ya mgomo nchini.kuna maeneo ambayo yanaripoti hakuna mgomo lakini uhalisia hauko hivyo.wakuu hawa wa mikoa hawatoi takwimu sahihi hivyo nawashauri wapeleke takwimu sahihi
 
MGOMO WA MADAKTARI:Hapa kwenye Hospital ya Rufaa Mbeya hali ni Mbaya kabsa yaani uwezi kuelezea.
Ward no.1 hali ndo ucseme cz ni Majeruhi wa Ajal mbali mbali yaani mpaka uvundo wa vidonda vya Majeraha.i
Madaktari hawapo then Manesi wapo b...t wanapiga Story tena awana mda na wagonjwa,awazuii kuingia kama apo awali.
Pls Serikali tuoneeni Huruma cc maskini tena tulio walalahoi kwani kujiuzulu kwa Dr.Haji Mponda na Dr.Lucy Nkya kuna gharama gani??
Hv Rais wa Nchi upo kweli?? na tulikuchagua kwa manufaa gani ebu toa kauli ktk hil Rais wang Mpendwa JAKAYA MRISHO KIKWETE
huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom