Serengeti beer and Mlima Kilimanjaro na bia ya Kili

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
I appreciate Serengeti na idea yao ya kudhamini watu 14 kupanda Mlima Kili ili kusaidia yatima haswa wakati huu wa msimu wa sikukuu ila I feel its a cheap take on Kili beer's idea ya mwezi uliopita ya kupandisha bendera ya taifa juu ya mlima huo huo. I mean tuna vipaji and creativity, why not come up with something different for the cause.

Hebu nipeni maoni yenu kuhusu swala hili
 
Back
Top Bottom