Serena let them hate all they want

Hawa ndo ma celebrity, sio mtu unaomba watu wa kusupport kuwa celebrity.
Binti anafamya kazi, watu wanamfuata fuata wenyewe kutokana na kazi iliwasikie naye anazungumza nini, kutokea hapo wanaandika.
Huwezi kuwa celebrity kwa kuomba.
Mimi nadhani u-celebrity unatokana na mambo uanyoyafanya na jamii ikakuona na kusema kweli huyu ni mtu maarufu.Tatizo Tanzania kwa gharama yoyote mtu ananunua kuwa celebrity,tumeona mengi watu wamenunua na magezi ili waandikwe kila siku,watu wamelipa pesa ili waimbe kwenye band na waonekane.Anzisha kipaji chako, kitangaze ikiwezekana, watu waone kuwa wewe ni celebrity.
Cerena williams she is a real and fantasitic ceberity.Bongo unatafuta u-celebrity kwa kutukana watu kwenye U BONGO STAR SEARCH...Ri..and Maja..

Hapa umelonga haswa.
 
Anyone hating on this sista is a loser! Got damn huyu mwanamke is on top of her game, she makes good money and these photos prove how dazzingly attractive she is. Now with all these qualities why would anyone want to hate?
 
.....GT kwa huo mzigo inabidi ushuke kwa 'wale wajamaika' pale brixton wakupe kitu inaitwa 'stone' ....bana hapo dzudzu mpaka liamba....
 
Back
Top Bottom