Serekali yakacha taarifa kuhusu mgomo wa madaktari

Kwa mujibu wa spika serkali haitatoa taarifa yake kama ilivyotangazwa hapo, Akitoa sababu Spika Makinda amesema ni kutokana na Mhimili wa mahakama kusema inaingiliwa katka majukumu yake.

Serikali fisadi ni Serikali DHAIFU
 
Huko kwenye kikao cha wabunge wa ccm je hawataliongelea hili?
 
Madaktari tunawasihi tafadhali msilegeze kamba tayAri mmewabana katika angle mbaya CCM hawana pa kUtokea walidhani kwenda mahakamani ungekuwa mkwara tosha kumbe shule yenu imeeleweka.Najuta kwa nini sikusomea u-daktari wakati nilikuwa na qualification za kutosha alaaaaa!!!! hakika na mimi ningeingia kwenye historia ya Heros who are prepared to make history very soon.Hata hivyo mwanangu anasomea PCB ataridhi hii historia inayotarajiwa kuwekwa na Ma-doctor wetu.

Chonde chonde msirudi nyuma, mchana huu magamba wanakutana kule dodoma na baraza lao la mawaziri limekutana lakini wapi??? chenga tupu.VIVA DOCS
 
Kwa mujibu wa spika serkali haitatoa taarifa yake leo kama ilivyotangazwa hapo jana, Akitoa sababu Spika Makinda amesema ni kutokana na Mhimili wa mahakama kulalamika unaingiliwa katka majukumu yake, Kwani suala hilo lipo mahakamani.

Sasa unamwambia nani mbona kila mtu mwenye akili timamu alijua kwamba Pinda karopoka tu na hana ujanja wa kuchukua hatua yeyote labda kuagiza usalama waue viongozi wa migomo
 
Mizengo Pinda ametangaza kusitisha Serikali kutoa tamko lake kuhusu mgomo wa madaktari, ambao ulitakiwa kutolewa leo kama alivyoahidi jana Bungeni.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Waziri Mkuu, Pinda, alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na Mkuu wa Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe, aliyetaka kujua Serikali ina mipango gani ya dharula ya kuumaliza mgomo huo.
Alisema kwa hivi sasa, Serikali imechukua dharura, kwa kuwaita madaktari wastaafu kwenda kwenye baadhi ya Hospitali za Serikali kushika nafasi maeneo ambayo madaktari waliogoma. Vilevile Serikali imewataka wananchi waende kuhudumiwa kwenye hospitali za Jeshi, ikiwemo Lugalo.

Kuhusu Dkt Stephen Ulimboka, Mhe. Pinda ameseama kuwa hata yeye alipopokea taarifa kuwa Dkt. Ulimboka ametekwa na kupigwa na kwamba alisikitika sana, na anamuombea apone haraka ili waendelee na suluhisho la mgomo huo wa madakatari.

Waziri Mkuu amemuagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuunda jopo la wataalamu kuchunguza kwa haraka kuhusu tukio hilo.

My take:
1. Je, kuwaita wastaafu kuhudumia ndiyo suluhisho mbadala?
2. Serikali kuwataka wananchi wakahudumiwe hospitali za jeshi! Je zinatosha maana hospitali zenyewe nyingi ziko mijini. Sasa sie wa vijijini tunaenda wapi?
3. Kweli Serikali yetu ni dhaifu!
sie tulio mikoani tutafikaje
 
Pinda anamatatizo kama aliyonayo BOSS wake... Jana si alijifanya anaongea kwa mbwembwe "Liwalo na liwe"... Leo kiko wapi...Ndio matatizo wa fangasi kupanda kichwana... aende akabadi blad kama kawaida yao, may be inaweza kumsafisha akili... Ni matatizo makubwa kuongozwa na viongozi ambao wote ni wagonjwa, they can not and will never think straight....
 
Mizengo Pinda ametangaza kusitisha Serikali kutoa tamko lake kuhusu mgomo wa madaktari, ambao ulitakiwa kutolewa leo kama alivyoahidi jana Bungeni.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Waziri Mkuu, Pinda, alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na Mkuu wa Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe, aliyetaka kujua Serikali ina mipango gani ya dharula ya kuumaliza mgomo huo.
Alisema kwa hivi sasa, Serikali imechukua dharura, kwa kuwaita madaktari wastaafu kwenda kwenye baadhi ya Hospitali za Serikali kushika nafasi maeneo ambayo madaktari waliogoma. Vilevile Serikali imewataka wananchi waende kuhudumiwa kwenye hospitali za Jeshi, ikiwemo Lugalo.

Kuhusu Dkt Stephen Ulimboka, Mhe. Pinda ameseama kuwa hata yeye alipopokea taarifa kuwa Dkt. Ulimboka ametekwa na kupigwa na kwamba alisikitika sana, na anamuombea apone haraka ili waendelee na suluhisho la mgomo huo wa madakatari.

Waziri Mkuu amemuagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuunda jopo la wataalamu kuchunguza kwa haraka kuhusu tukio hilo.

My take:
1. Je, kuwaita wastaafu kuhudumia ndiyo suluhisho mbadala?
2. Serikali kuwataka wananchi wakahudumiwe hospitali za jeshi! Je zinatosha maana hospitali zenyewe nyingi ziko mijini. Sasa sie wa vijijini tunaenda wapi?
3. Kweli Serikali yetu ni dhaifu!
sie tulio mikoani tutafikaje

walichobakiza sasa ni kujilinda kwa kutumia wateka-nyara na mtutu wa bunduki. that will never work, kwa kuwa wana maadui nje na ndani.
 
Mizengo Pinda ametangaza kusitisha Serikali kutoa tamko lake kuhusu mgomo wa madaktari, ambao ulitakiwa kutolewa leo kama alivyoahidi jana Bungeni.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Waziri Mkuu, Pinda, alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na Mkuu wa Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe, aliyetaka kujua Serikali ina mipango gani ya dharula ya kuumaliza mgomo huo.
Alisema kwa hivi sasa, Serikali imechukua dharura, kwa kuwaita madaktari wastaafu kwenda kwenye baadhi ya Hospitali za Serikali kushika nafasi maeneo ambayo madaktari waliogoma. Vilevile Serikali imewataka wananchi waende kuhudumiwa kwenye hospitali za Jeshi, ikiwemo Lugalo.

Kuhusu Dkt Stephen Ulimboka, Mhe. Pinda ameseama kuwa hata yeye alipopokea taarifa kuwa Dkt. Ulimboka ametekwa na kupigwa na kwamba alisikitika sana, na anamuombea apone haraka ili waendelee na suluhisho la mgomo huo wa madakatari.

Waziri Mkuu amemuagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuunda jopo la wataalamu kuchunguza kwa haraka kuhusu tukio hilo.

My take:
1. Je, kuwaita wastaafu kuhudumia ndiyo suluhisho mbadala?
2. Serikali kuwataka wananchi wakahudumiwe hospitali za jeshi! Je zinatosha maana hospitali zenyewe nyingi ziko mijini. Sasa sie wa vijijini tunaenda wapi?
3. Kweli Serikali yetu ni dhaifu!
sie tulio mikoani tutafikaje

Hilo la kutibiwa hospitali za Jeshi nafikiri WM Pinda ameongea kama Mkuu wa Mkoa wa Dar akiwaelekeza wakazi wa mkoa wake kwenda kuhudumiwa na hospitali za Jeshi kwa maana ya Lugalo na zahanati zake! Nilifikiri Waziri Mkuu anazungumza kama kiongozi wa shughuli za serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo kauli yake inakwenda mbali ya Dar es Salaam kwa maana ya namna watakavyohudumiwa wagonjwa kule Mbeya,Mwanza,Arusha,Dodoma,Dar es Salaam na kwingineko nchi nzima.

Sasa kama wananchi yeye anaona wako Dar es Salaam tu basi napata shida na busara zake. Wakati mwingine huwa natamani EL angeendelea kuwa WM potelea mbali liwalo na liwe (lol).
 
Wamechungulia nyota...... Ushauri toka kwa Mwenyekiti wa kamati ya ufundi Prof.Maji Marefu akisaidiwa na Katibu aliyesema kama mbay na iwe mbaya.
 
watoe tamko tuachie ndugu zetu wa hapa milembe wawatembelee bungeni pale wawasaidie kujadili budget .... weeeh...
 
Sera za wamerakani No GUNS NO GLORY labda ndo wanajaribu kama zinafaa
 
Ubelgiji ilikaa siku 541 bila 'serikali' dunia nzima ikashangaa wakati Tanzania tunakaribia miaka 10 sasa..
 
Hapa at least kapata japo mshauri kwa sababu tamko kwa muda huu si muafaka madaktari wana hasira. Lakini kaushauri ka kuwatumia wastaafu ni ku-accelerate vifo vya wagonjwa na wastaafu wenyewe miili yao dhaifu na walishatumikia taifa,muda wao ukapita waachwe wapumzike. Hoja ya kutumia hospitali za jeshi manake awahakikishie wananchi wote kupata usafiri wa kuwatoa mikoani kwenda lugalo ambako hakuna vifaa tiba vyote kama mri,mabingwa wachache. Hebu awapigie simu pm wa kenya au ug. Wamwelekeze jinsi ya ku-deal na national crises.
 
Back
Top Bottom