Serekali ituweke wazi mliki wa mashamba ya miyombo estate kilosa ni yupi.

McEM

Member
May 7, 2011
64
3
Takribani miaka 15 toka kampuni ya miyombo ilipo kufa tumepata wawekeza wawili wa kutukodishia mashamba ili tulime,mwaka huu tumezuiwa kufanya lote na kuambiwa kuna muwekezaji mpya anaye taka kulima zao la mtama. Sasa hii mikataba mbona haieleweki ikoje ?.
 
Hacheni ujinga watz mwaka 67 mwl nyerere alitaisha mashamba nakumilikiwa na watz wenyewe chini ya serekali huru pili kikatiba shamba lisipoendelezwa kwa 5yrs na kutoinufaisha jamii mwekezaj hupolwa ikoje kilosa kuna mchwa hapo wapaswa valisha gwanda
 
Takribani miaka 15 toka kampuni ya miyombo ilipo kufa tumepata wawekeza wawili wa kutukodishia mashamba ili tulime,mwaka huu tumezuiwa kufanya lote na kuambiwa kuna muwekezaji mpya anaye taka kulima zao la mtama. Sasa hii mikataba mbona haieleweki ikoje ?.

mmiliki ni mimi, haya, wasemaje
 
Takribani miaka 15 toka kampuni ya miyombo ilipo kufa tumepata wawekeza wawili wa kutukodishia mashamba ili tulime,mwaka huu tumezuiwa kufanya lote na kuambiwa kuna muwekezaji mpya anaye taka kulima zao la mtama. Sasa hii mikataba mbona haieleweki ikoje ?.

mdau kuanzia mashamba ya kimamba,madoto,rudewa,MAZULIZ(MAGOMENI) NA ROZI,hayo yote ya wakubwa,hakuna cha mwekezaji wala mwezeshaji,utakuja kusema hapa,muulize mbunge wakoambaye ni mbunge wa MIKUMI
 
Kilosa mkulo ameiaribu sana kote huko hadi msimba mapori tupu,kituo cha utafiti ilonga,chuo cha mati kilimo wote wanacheza viduku! Mkulo ameiaribu kilosa!! Wakiweza kuutumia mto mkondoa kwa kilimo hakika mashamba ya Magomeni kilosa yangeweza kulisha tz nzima....
 
Back
Top Bottom