Sera za vyama vya siasa hapa Tanzania

ethicx

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
311
124
Habari zenu wana jamvi ningependa kujulishwa sera za vyama vitatu chadema, cuf na ccm ili niweze kufanya maamuzi na sio kujiingiza katika ushabiki. Tafadhali nawasilisha.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Unamaanisha sera (policy) au itikadi (ideology)? Ninahisi ulimaanisha itikadi na siyo sera.

Kuhusu itikadi ya CCM pitia hii thread labda utapata jibu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...aa-na-kujitegemea-bado-ni-itikadi-ya-ccm.html

CHADEMA ni chama cha itikadi ya mremgo wa kati (center party with orientation on market economy). Wapo wengine wanasema itikadi ya CHADEMA imekaa ki-conservative zaidi.

CUF inafuata itikadi ya uliberali ambayo inalenga kuwazindua wananchi waweze kuitumia neema waliyopewa na Mungu kwa manufaa yao binafsi na taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom