jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Mkuu JokaKuu, si lazima udini na ukabila (kama upo) utokomezwe moja kwa moja ndo tufikirie kuhusu mabadiliko ya kimaendeleo.Hata wenzetu wamarekani wanaenda hivyo hivyo, kadri wanavyozidi kupata mafanikio, ndo a step more towards "Perfection" of their union.Nadhani unasahau ni kwa kiasi gani Taifa letu limepoteza nguvu kubwa na resources nk ili kuleta tu wanachoita umoja wa Taifa na Afrika kwa ujumla.Waberoya,
..binafsi naamini majimbo yata-reverse mafanikio yaliyopatikana katika kujenga utaifa wa Mtanzania. Bado hatujafanikiwa vya kutosha ktk kuuzika ukabila, pamoja na udini, ktk jamii yetu, sasa tukirudi kwenye majimbo matatizo hayo yanaweza kuchomoza tena kwa kasi na kuleta instability ktk jamii yetu.
.
Tuelekeze nguvu zetu kwenye issue zenye tija kwa maendeleo ya jamii zetu, hapo unakuwa na Taifa lenye watu huru na **** huru, kitu ambacho ndo tunamiss kwenye jamii ya watanzania.
Pointi yangu ni kwamba tusiwe na mwelekeo wa kutaka tu kuunganisha wananchi, kimsingi wananchi ndo wanaungana.Kufanya redistributions kwa vigezo kama hivyo si vyema kabisa.