Elections 2010 Sera Za CUF: Uliberali, Utawala wa Sheria, Elimu Bure

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
  • Uliberali ni nini
  • Serikali Ya Umoja wa Kitaifa
  • Asilimia 19 ya bajeti kuhudumu Elimu Bure kwa wote 2010 na kupanda mpaka asilimia 25 mwaka 2015
  • Kipaumbele ni Elimu bora ya bure.
  • Katiba ya Jamhuri ya Tanzania ya Mwaka 1977 kufumuliwa
  • Maseneta kupitishwa na bunge
  • CUF na CHADEMA Elimu Bure Inawezekana, CCM sera yake inatamka haiwezekani
  • Coalition Government (serikali Ya umoja) Kipaumbele ni maslahi ya Taifa mbele na siyo masilahi ya mgombea au chama
  • Utawala Bora ni kushirikisha Watanzania wote yaani Viongozi wa kuchaguliwa na wakuteuliwa (baada ya kupitishwa na Bunge)
Joram Kasangi :Naibu Katibu Mkuu CUF akimwaga sera

Hisani Ya Tangibovu wa YOUTUBE
 
Last edited by a moderator:
Junius \\vp mbona Donge hamjataka kufanya mkutano ?

halafu mnazua kuwa wakuu wadonge wamewachochea msifanye mkutano ?


mna mambo nyie
 
Back
Top Bottom