senti ya mkoloni ilikuwa na Thamani sana kwa Wakati huo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108

kama kuna aliewahi kutumia senti kama hii na anyooshe mkono. we! mtimkubwa-mkavu, acha! hujazikuta hizi, labda kidoooogo ndesanjo na mark.

1964 ilipoanza hiyo Senti ndio mwaka niliozaliwa je wewe Au Mwana J.F. ulikuwa na miaka mingapi?Au hujazaliwa? Kuna Mtu yoyoyte katika hii J.Forums ameshawahi kuitumia hiyo Senti ya kikoloni?
 
Yap... tulikuwa tunazifunga na kamba kisha unafunga kiunoni kama shanga ili isipotee
 
Niliitumia nilipokuwa darasa la kwanza Senti kumi unapata andazi kubwa au kitumbua. Ukiongeza senti tano unapata kikombe cha chai.
 
kama kuna aliewahi kutumia senti kama hii na anyooshe mkono. we! mtimkubwa-mkavu, acha! hujazikuta hizi, labda kidoooogo ndesanjo na mark.

1964 ilipoanza hiyo Senti ndio mwaka niliozaliwa je wewe Au Mwana J.F. ulikuwa na miaka mingapi?Au hujazaliwa? Kuna Mtu yoyoyte katika hii J.Forums ameshawahi kuitumia hiyo Senti ya kikoloni?
Tuko wengi na bado tunadunda. Pamoja na hiyo senti kumi zilikuwapo na senti moja na senti tano. Ni vigumu kukisia lakini senti moja ya wakati huo uliweza kwenda nayo dukani na ukanunua kitu. Kama unataka kujua zaidi hebu bonyeza hapa chini;
<http: numismaticon.com="" catalog="" british-east-africa="" coins="" page_1=""> World coin catalog - British East Africa - Page 1 of 1 - Numismaticon.com

<http: numismaticon.com="" catalog="" british-east-africa="" coins="" page_1=""></http:></http:>
 
Asante mkuu, hii link nimeifurahia sana
 
Hee yaani kumbe JF ni ya watoto wa juzi tu! Yaani kuiona senti 10 tu na wala sio kuitumia! Zilikuwepo hadi 1966 wakati tulipoanzisha benk yetu na kuanza kuchapisha hela zetu wenyewe
 
Back
Top Bottom