" sentense au issue GENDER BALANCE"

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
to be honest hakuna jambo linaliniudhi kama hili jambo linalopigiwa debe kuliko hata maendeleo "GENDER BALANCE" unakuta katika nafasi za uongozi ati lazma nafasi ijazwe na mwananmke tu( yale yale ya uspika bungeni), au nafasi za masomo kwa ajili ya kina mama tu! ujue tunamuudhi mwenyezi Mungu? Mimi naamini tusiwanyanyase, tusipigane, pia tusiwaonee, pale mtu ana uwezo apewe awe mke/mume haijalishi, tunatakiwa tu kuhamasishana tutambue uwezo wa mtu kama mtu na si ubaguzi unaoendelea sasa ( wanawake wanapendelewa hata km kuna mwanaume anaemzidi) tunajenga taifa bovu, bovu chafu, saasa mura yamekuwa ni mabishano kisa wanatetewa na sereiali na majuha wachache wanaofuata mkumbo, hii imeniathiri mahali flani nkajua ni sababu ya hizi mambo za kupena upendeleo. wapo wananwake wanaoweza sikatai" I salute them" ila wengi ni soo mbaya! na tunatambua nini inaweza tokea ukimpa mwanamke chance juu..(sorry lakini ndo ukweli)
 
Back
Top Bottom