KiuyaJibu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 841
- 175
Hii ni sensa ya tano(05) tangu Tanzania ipate uhuru wake.Wananchi wanaombwa wawe tayari kujibu maswali kuanzia 1-37 au 1-62;hii ina maana kwamba kuna watu watakaojibu maswali 37 na kuna wengine watakaojibu maswali 62, na hii ni kwa mujibu wa dodoso la sensa 2012.
Zoezi hili litaanza usiku wa tarehe 25/08/2012 kuamkia tarehe 26/08/2012 na litadumu kwa siku saba (07).Sensa hii ni muhimu kwa mtu mmoja mmoja na kwa tathimini ya mipango ya nchi kwa ujumla;na sensa hii ni muhimu zaidi ya hizo sensa nne(04) zilizopita.
Watakao hesabiwa ni wale wote wataokuwepo ndani ya nchi katika kipindi chote cha zoezi hili nyeti kitaifa;na mtu anahesabiwa mara moja tu na siyo vinginevyo.