Sensa ni Msingi wa Maendeleo??!!

moshingi

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
278
92
Yamekuwepo matangazo ya kuhamasisha wananchi kushiriki katika zoezi la sensa...kauli mbiu ikiwa ni
"sensa ni msingi wa maendeleo" binafsi siiafiki dhana hii, ninakumbuka dhana kama "Elimu ni ufunguo wa maisha"
"siasa ni kilimo". "fedha si msingi wa maendeleo", "Ujamaa ni imani" nk. Wadau tukumbushane kauli mbiu nyingine zilizotumika kutuunganisha watanzania. Maana kauli mbiu nyingine zinakinzana kama hii ya sensa na ile ya fedha miaka ile... Tafadhali mwenye kauli mbiu ambazo zilitumika huko zamani lakini sasa zimeibuliwa nyingine zenye kukinzana aweke hapa....
 
Back
Top Bottom