Sensa ni majaribu ya watawala wetu

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,061
5,393
Leo nilikua mahali na jamaa watatu watu wakubwa kwenye mfumo wetu wa utawala. na katika maongezi yetu
lilijitokeza swala la kwanini waislam wanakataa kuhesabiwa na serikali imekaa kimywa hadi zimebakia siku mbili
zoezi lianze hakuna juhudi za dhati za serikali kuhamasisha wananchi husasani waislaim washiri sensa.

zilitolewa hoja mbali mbali ila moja ambayo kila mtu alibaki anashangaa ilitolewa na mmojwapo wa vigogo hao ni
mahususi wa serikali sensa ijayo (26.08.2012) isiwe na mafanikio kwa sababu kuu moja.

Desired equation

Jumla ya wapiga kura = Jumla ya wanye vitambulisho vya taifa + watoto (under 18) = total population

wanaosemekana wamejiandikisha kupiga kura* >kuliko wataopewa vitambulisho (more than 9%)

*Takwimu za daftari la wapiga kura 2010


Hivyo watu wote wakihesabiwa equation yetu ya itakua


wapiga kura =/= watu halali wanaostahili kupewa kitambulisho cha kitaifa


na figure ni kubwa ambayo hajuna error margin (statistically accepted)itakayoweza kuifuta hiyo difference


Therefore hao ndugu zetu wamechochewa tu wagome ili hiyo variation itakayojitokeza iweze kuelezewa kirahisi.


Tafsiri yangu: labda nipo sahihi au la stand to be corrected

Maana yake ni nini: Kuna idadi kubwa sana ya wapiga kura iliyoongezwa kwenye daftari la wapiga kura ambayo sasa inawatesa namna ya kufidia.

kwa maana ingine kama 2010 kulikuwa na watu wazima waliojiandikisha kupiga kura 22million (acha walioshndwa kujiandikisha kwa sababu mbalimbali) then leo hii 2012 unaambiwa watu wazima (above 18) wapo 20 million ni ngumu kuielezea statistically.

Hayo ndio niliyoyasikia kwa leo naendelea kufuatilia mjadala mwingine hapo baadae
 
Back
Top Bottom