Sensa na siasa wapi na wapi?

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
45
Wadau huku kwe2, wilaya ya Mbulu Manyara leo kimetoke kitendo cha ajabu ambacho kwangu mimi ni cha ajabu sana kwa sababu zaidi ya makarani 80 wamefutiwa ukarani wao bila ya kupewa hata kumi ya fedha zao tangu tar 13, hasa sisi wa dodoso fupi ambao tulianza mafunzo (semina) tar 13 mpaka leo, 2mefukuzwa kazi hyo eti kwa sababu budget ya nchi haitoshi! Wadau nisaidieni haya ni yakwel au ndo kuchumia tumbo? Afu kuna fununu eti Chadema ipo pembembeni
 
kama unabarua ya kuteuliwa kuwa wakala/msimamizi wa sensa inabidi uteuzi wako usimamishwe kwa barua kama walivyokupa huku wakiambatanisha na sababu za kukusimamisha pamoja na malipo ambayo unastahili kupewa kwa siku ulizotumikia.pia haiingii akilini kwamba hakuna pesa wakati fedha za sensa zipo na zimetengwa tayari.komaanao.
 
Wadau huku kwe2, wilaya ya Mbulu Manyara leo kimetoke kitendo cha ajabu ambacho kwangu mimi ni cha ajabu sana kwa sababu zaidi ya makarani 80 wamefutiwa ukarani wao bila ya kupewa hata kumi ya fedha zao tangu tar 13, hasa sisi wa dodoso fupi ambao tulianza mafunzo (semina) tar 13 mpaka leo, 2mefukuzwa kazi hyo eti kwa sababu budget ya nchi haitoshi! Wadau nisaidieni haya ni yakwel au ndo kuchumia tumbo? Afu kuna fununu eti Chadema ipo pembembeni
Mbona hueleweki CDM ipo pembeni kivipi? Kusababishwa nyie kufutwa au kivipi fafanua haujaeleweka
 
we hujitambui ndio maana umefutwa. Sasa hapa ulichoandika ni nini? ungeharibu nyaraka za sensa kama Ngoswe wewe...
 
sasa hapo siasa iko wap ikiwa sababu waliokupa ni kua bajet finyu.ila cdhani km jambo hlo lina ukweli coz toka ww umetoa hyo thread hatujawah hata kuskia tena.msitengeneze thread sometimes kwa ili kuibaka popularity.
 
Back
Top Bottom