Sensa Mbona Hawasomeki!!!

Marsy

Member
Dec 14, 2011
47
7
Wandugu me nashndwa kuwaelewa hawa wa2 wa sensa,watapangaje tar za kuanza semina hafu wanahairisha without any Information ktk ofc za kata na hata maeneo waliyopanga kwa hzo semina.Jambo la m2 kwenda mpaka ktk eneo hafu hakuna taarifa na ukizingatia enen lenxewe ni mbali ka twakomoana vile,cjui lengo lao ni nin.Wajue kuwa hela twaitaka bt c kwa kutesana hvyo bila taarifa kamili.Cjui wadau mwalichukuliaje hilo!!!
 
Mi nilipangwa shule ya seko kondo maeneo ya bahari beach hadi kufika wakat wa kwenda i used elfu 2, afu nafika wahusika hawapo, 2metembea kwa mguu mana hata pikpik kwa saa ya kurud hazkuwepo, mpaka kufika sehem ya kupanda gar miguu yote kwishnei.
 
Mkuu me mwenyewe nilipangwa huko,unafika kule hoi hafu ndo hakuna ki2.Vp sasa umeckia semina ni kesho au tar 14 mana wengne wanasema kesho others j4,sa nahofia tena kuchapa mwendo mpaka kule tena hafu unakuta patupu.2JULISHANE NDG!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom