Sensa inaumuhimu gani kama serikali haiwatimizii wananchi mahitaji ya msingi?

Juma Bundala

Member
Mar 9, 2012
71
5
kimsingi sensa huwa ni kujua idadi wa watu,mali zao,pamoja na mahitaji ya msingi ktk jamii.Nitofauti na inavyotarajiwa watu hupoteza muda wa kuhesabiwa kwa mwamvuli wa kuja kuwa saidia hususan huduma za afya,barabara,maji,umeme,shule safi,kuboresha bei ya chakula,nk.Kwamba huduma hizo zote zitanda vijiji vyote TZ lakini hadi sasa vijiji vingi nchi pamoja na baadhi ya Wilaya za TZ hazina huduma muhimu kama lizo zitaja mfano kijijini kwetu hakuna kabisa.Swali ni je Serikali ina nini cha kuwashawishi tena watu wa vijiji hivyo ili iwaesabu?
 
Inasaidia kujipanga kwaa ajili ya kuomba ufadhili, kutembeza bakuli, hupata presantations zenye statistics wakienda huko.
 
Inasaidia kujipanga kwaa ajili ya kuomba ufadhili, kutembeza bakuli, hupata presantations zenye statistics wakienda huko.
Nikweli kabisa kuwa ni njia ya kutembezea bakuli na hakuna masaaba kwa wahesabiwa mbali na kuwapotezea muda wao tu.
 
Wastage of time and resources!
nI NJIA YA KUCHOTA PESA ZA HAZINA BURE, NA KUJITAJIRISHA KWA BAADHI YA WATU.
Lakini in real sense, sensa ya Tanzania haijawahi kusaidia mwananchi kwenye mpango-mkakati wowote.
 
One person once said 'The thinnest title in this world is on what men know about women'. Akimaanisha kitabu chenye kurasa chache zaidi kile ambacho kinaeleza wanaume wanajua nini kuhusu wanawake!

Lengo hapa ni kujua hasa ni mambo gani ambayo mwanamke akifanyiwa na mwanaume ataona amethaminiwa na kupendwa! Ikumbukwe wakati wanaume tunakuwa touched by materials things, to our counter parts matters affecting heart, quality and feelings matter!
Kwa kauchunguzi kidogo nlofanya haya yanahusika.
1. She needs your attention! Iwepo tofauti kati yake na other staffs eg mpira, gari, gazeti, net, tv etc

2. She needs your recognition. Proper one! Unamtambulishaje kwa ndugu na marafiki? How do u treat her in public?

3. She needs to be listened! Unamskiliza? Anaweza akawa na kastori kake ka kimbea, unapompotezea amwambie nani?

4. She needs assurance of your protection. Financially and physically.

5. Suprises and gifts. These work out a lot. .

Waweza kuweka vile vitu ambavyo kweli women appreciate! . . . . . Naendelea

http://www.dawamart.com/
 
kimsingi sensa huwa ni kujua idadi wa watu,mali zao,pamoja na mahitaji ya msingi ktk jamii.Nitofauti na inavyotarajiwa watu hupoteza muda wa kuhesabiwa kwa mwamvuli wa kuja kuwa saidia hususan huduma za afya,barabara,maji,umeme,shule safi,kuboresha bei ya chakula,nk.Kwamba huduma hizo zote zitanda vijiji vyote TZ lakini hadi sasa vijiji vingi nchi pamoja na baadhi ya Wilaya za TZ hazina huduma muhimu kama lizo zitaja mfano kijijini kwetu hakuna kabisa.Swali ni je Serikali ina nini cha kuwashawishi tena watu wa vijiji hivyo ili iwaesabu?
 
Hello, mh, kazi ipo...kumbe wengi hatujui maana ya sensa... nlidhani pekeangu...
 
mkuu wanatuhesabu ili watutawale vizuri.hivyo raia wakiongezeka lazima na askari polis waongezwe vivyo na wanajeshi na mabom na magari ya washawasha na mabom ya machoz bila kusahau migambo.
 
Back
Top Bottom