Sensa; ilikuwa lazima kufunga shule?

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Semina za sensa zinaendelea karibu nchini kote katika Tanzania huku kukiwa na habari kwamba asilimia kubwa sana ya walimu ambao walidhaniwa ndio wangeliendesha zoezi hilo wakiwa nje ya semina hizo, kwa maana ya kwamba wameachwa katika zoezi. Kwa mfano, sehemu kubwa ya walimu katika Manispaa ya Tanga hawapo katika hilo zoezi.

Hali hii inanifanya nishindwe kupata uhusiano kati ya zoezi hili la sensa na kufungwa kwa shule zetu!
 
kwa taarifa yako mgomo wao walimu ulishanukia hivyo sirikali akaweka plan B yao ingawa walijisahau suala la kufunga shule,tatizo walilonolo ndugu zangu walimu ni kwamba plan B yao haina Makucha na madhara yake yananyata ila wasikate tamaa tutarajie marizati mabovu drs 7,kdt cha2 na cha 4, kwa wale walimu wa walimu wenzao angalia matokeo ya stashahada ya ualimu matokeo yao ya mwaka huu,ndio utajua wale mgomo wao ni wa silence hauna kwere wala nini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom