Sensa 2012: Yanayojiri

kuna huyu kijana anayehamisha vinasa sauti mbona amevaa kihuni kama yupo disko?
 
Karani aliyekuja kutuhesabu hakuwa na sare ila nimoeona amevaa kitaumbulisho iliyo andikwa lugha mbili Kichina na kiengereza inaelekea aliyepewa tender ya ku supply vitambulisho hivyo amevileta kutoka China!!

Hata mimi nimeona vitambulisho vyenye maandishi ya kichina upande wa pili. Kuna makarani waligomea nembo ya msaraba mwekundu kwenye moja ya vitendea kazi vyao, je, kama hayo maandishi ya kichina yanamaana ya 'Maria Mama wa Mungu' watajuaje?
 
Kilichonishangaza mimi leo kwenye zoezi hili kabla ya kufika kwangu walikua kwa jirani yangu mwenye duka hapa karibu na kwangu leo asubuhi nikiwa natoa Lock, walikua na maswali zaidi ya 60 katika maswali hayo nilisikia wakimuuliza jirani yangu eti una Pasi ya Mkaa au ya Umeme? swali la kwanza! swali la pili je una choo cha kuFlash au ni cha kuchimba? swali la tatu una kuku, Ngombe, Kondoo, Mbuzi? Una Feni? je mumeo amesoma mpaka darasa la ngapi??? anafanya kazi gani?? Aisee wacha niendeleee na kutoa Lock nawasubiri waje kwangu waniulize hayo maswali! Duh! Sensa hii mbona kiboko??!
 
Nimepishan na karani na mwenyekiti wa mtaa getini mie nimetoka ndani hakuna mtu hata moja naona mwenyekiti wa mtaa anang'aa sharubu tu ananiangalia napanda gari naondoka zangu.
 
Nimepishan na karani na mwenyekiti wa mtaa getini mie nimetoka ndani hakuna mtu hata moja naona mwenyekiti wa mtaa anang'aa sharubu tu ananiangalia napanda gari naondoka zangu.

Mkuu vipi tena jamani hebu rudi uhesabiwe,unayakimbia 'maendeleo'!!!
 
Kilichonishangaza mimi leo kwenye zoezi hili kabla ya kufika kwangu walikua kwa jirani yangu mwenye duka hapa karibu na kwangu leo asubuhi nikiwa natoa Lock, walikua na maswali zaidi ya 60 katika maswali hayo nilisikia wakimuuliza jirani yangu eti una Pasi ya Mkaa au ya Umeme? swali la kwanza! swali la pili je una choo cha kuFlash au ni cha kuchimba? swali la tatu una kuku, Ngombe, Kondoo, Mbuzi? Una Feni? je mumeo amesoma mpaka darasa la ngapi??? anafanya kazi gani?? Aisee wacha niendeleee na kutoa Lock nawasubiri waje kwangu waniulize hayo maswali! Duh! Sensa hii mbona kiboko??!

Yani maswali ya kijinga haya ndio yanayoleta maendeleo, kazi ipo yale watu wanayogomea sensa watu wanayaona sio ya msingi bali haya ndio ya msingi
 
Kwa walio nje ya nchi karani mie nitaanzisha uzi kuwahesabu
Hivi mbona sijasikia chochote kwetu wengine tulio nje ya nchi inakuwa vipi,JF ndo chanzo changu cha habari na hapo mko kimya kuhusu utaratibu, mbona hivyo?
 
SIMULIZI ZA MKUU WA KAYA: Kumbe alishawahi kuwa karani wa sensa wakati anasoma kidato cha pili kibaha sec.
 
Acha uwongo maalim jk mwenyewe kahesabiwa
Nimepishan na karani na mwenyekiti wa mtaa getini mie nimetoka ndani hakuna mtu hata moja naona mwenyekiti wa mtaa anang'aa sharubu tu ananiangalia napanda gari naondoka zangu.
 
Ama kweli Rais JK ni kiwango,kawaambia kama waislamu wanaona takwimu cyo sahihi watoe zao ili ngoma iwe droo, awashangaa waislamu kuishutumu serikali yake wakati wao wenyewe wanawajua waliotoa takwimu. Jipange
 
Yuko na makarani wa sensa na waandishi wa hgabari,awananga Waislamu,asema watajijua.
 
Nimetoka club saa 9 usiku na wala sijaona KARANI hata mmoja, je ile haikuwa sehemu maalum?
 
Hata wangeniuliza maswali 250 sijaona tatizo wala ubaya wa hayo maswali.
Yana umuhimu saaaaaana
 
Kanifurahisha sana alivyowapasha
Ama kweli Rais JK ni kiwango,kawaambia kama waislamu wanaona takwimu cyo sahihi watoe zao ili ngoma iwe droo, awashangaa waislamu kuishutumu serikali yake wakati wao wenyewe wanawajua waliotoa takwimu. Jipange
 
Nimepishan na karani na mwenyekiti wa mtaa getini mie nimetoka ndani hakuna mtu hata moja naona mwenyekiti wa mtaa anang'aa sharubu tu ananiangalia napanda gari naondoka zangu.

Wewe ni mnafiki, masheikh, ma-elhaji wamehesabiwa sembuse wewe?
 
sasa mbona kwenye tren wamewahesabu ina maana safar itakua ya siku 7????
hata wakija siku ya 7 watauliza watu waliolala usiku wa kuamkia leo. Nadhani ndio maana walisimamisha treni na kuhesabu waliopo ndani ya safari kwa usiku huo.
 
Nimefungua runinga yangu punde na kumkuta mkuu wa kaya akipiga story na waandishi wa habari. Mamsapu yupo kwa pembeni akimsikiliza, na BAADHI ya wa watoto wake. Wale mabinti zake wazuri hawaonekani vizuri, wako nyuma yake. Yaani kwa kweli ni story za kijiweni kwangu mimi hazina mashiko. Bahati mbaya makarani wa sensa hawana hata glass ya juice. Mzee wafikirie hao jamaa hata maji ya kunywa.
 
Back
Top Bottom