Sensa 2012: Yanayojiri

Sensa ya watu imesababisha train ya kati kusimamishwa na wahesabuji wa sensa katikati ya safari wakidai watu wahesabiwe wote ndani ya train ndiyo iendelee na safari je huo ndiyo ustaarabu wa sensa?

Mimi nashangaa ninaposikia Polisi wakisema wamejiandaa vya kutosha, kwani kuna ugomvi katika kuhesabiwa? Lkn kama mambo yenyewe ndo hayo basi ndo maana wamejiandaa. Sasa hao wasafiri kama wanaounganisha safari zao wakikosa usafiri kwa sababu ya train kuchelewa kufika katika vituo vyake nani atawalipa fidia? Tanzania hatuna utaratibu kila kitu ni chancing ndo tatizo letu kubwa sana
 
kuisimamisha Treni ni makosa na haitatokea ila wamembiwa ndani ya treni watakuwepo wahesabuji wa Sensa hata km walilala porini usiku wa kuamkia 26/08/2012
Sensa inaenda vizuri hapa kwetu Waislamu wote wameshahesabiwa na mmoja alileta ukorofi Mke wake na mtoto mkubwa wake wametupa data na aliporidhika katoa ushirikiano
 
au matatizo wanayoyapata watoto wa mitaani,,,,,,ambao sijui nani atawahesabu yaillah

Wanahesabu na maeneo yasiyo rasmi kama stand za mabasi,nyumba za kula wenyeji na wakeshaji etc.Nadhani watawapitia na watoto wa mitaani nadhani hii segment ndio ilitakiwa kuonyeshwa live.
 
Hivi karibun vijana wa sensa "Wakina ngoswe" walikua wakilalamika kuhusu malipo yao mbaya zaid tumewasubir ucku kucha ad sasa bado hawajafika! Vijana wamegoma au serikal walifanya malipo hewa?
 
Ting-a ling a ling my Nokia rings , non other than Kapiteni Barwani wa kwa Haji tumbo. Imagine hawa wa......... hawajafika hadi sasa na sepa any moment from now, this is crazy! I know how do they expect us to stay indoors all day long? Baadaye!
 
matukio muhimu tbc huwa hawaonyeshi olympic imepita, kagame imepita leo wako live sensa du!
 
Hivi mbona sijasikia chochote kwetu wengine tulio nje ya nchi inakuwa vipi,JF ndo chanzo changu cha habari na hapo mko kimya kuhusu utaratibu, mbona hivyo?

Mkuu hao makarani siyo wabunufu hivyo wamefanya kosa kusimamisha hiyo Treni badala yake wangewahesabu hao Abiria wakati treni ikiendelea na safari.Mbona mimi sasaiv nipo ndani ya ndege ya Emirates na naendelea kuwahesabu abiria huku ndege ikiendelea na safari? Na kwa taarifa yako sasaiv tunakaribia kutua uwanja wa Heathrow pale UK. Sensa safi sana yani nimepanda pipa hivhiv bila kutarajia![/QUOTE

 
Sensa ya watu imesababisha train ya kati kusimamishwa na wahesabuji wa sensa katikati ya safari wakidai watu wahesabiwe wote ndani ya train ndiyo iendelee na safari je huo ndiyo ustaarabu wa sensa?[/QUOTE]

Kuna UPUMBAVU AMBAO DUNIA NZIMA NAAMINI UNAWEZEKANA TANZANIA TUU....
 
Back
Top Bottom