Sensa 2012: Yanayojiri

Kankwale

Senior Member
Apr 5, 2012
131
20
Sensa ya watu imesababisha train ya kati kusimamishwa na wahesabuji wa sensa katikati ya safari wakidai watu wahesabiwe wote ndani ya train ndiyo iendelee na safari je huo ndiyo ustaarabu wa sensa?
 
Nijuavyo mimi sensa itaendelea through 7days. Sasa kisa cha kuwasimamisha abiria ninini? Na wewe umekubaliana na jambo hilo?
Ungekuwa uchaguzi ningeelewa.
 
Labda walikuwa wanamfuata sheikh ponda & co.. Wanaogopa atakimbilia kwao kigoma
Nijuavyo mimi sensa itaendelea through 7days. Sasa kisa cha kuwasimamisha abiria ninini? Na wewe umekubaliana na jambo hilo?
Ungekuwa uchaguzi ningeelewa.
 
Nijuavyo mimi sensa itaendelea through 7days. Sasa kisa cha kuwasimamisha abiria ninini? Na wewe umekubaliana na jambo hilo?
Ungekuwa uchaguzi ningeelewa.

Mwenye nguvu mpishe kama kawaida yao wamejaa askari na kutangaza hakuna mtu kushuka vilevile hata hawaogopi jimbo la mheshimiwa mbunge na waziri wa afrika mashariki.Labda amewaagiza kwa kuwa niliona v8 yake ikizungukazunguka
 
Kumekucha,habari ndugu Watanzania, jumapili safi napata ka breakfast taratibu, na check BBC news nikisubiri makarani wa sensa. US astrounant Neil Armstrong dies, scores of bodies found in Syria, tropical storm dumps rain Cuba.......................... /Post Sensa update
 
ngoja niangalie dodoso\desa langu kama itifaki imezingatiwa hapa.
 
JINSI ZOEZI LA SENSA LILIVYO POKELEWA KWA HISIA TOFAUTI


Publication1.jpg


MWAKA HUU TUTAONA MENGI NA KUSIKIA MENGI
 
Moshi — SOME 116 hamlets and village chairmen, in Hai District of Kilimanjaro Region, who had threatened to boycott participation in the national population and housing census, scheduled for Sunday, have changed their mind and now were willing to cooperate with the census enumerators in the exercise, it was learnt here on Friday.
The imminent boycott was revealed here by the Regional Commissioner, Mr Leonidas Gama in a press conference where he informed journalists that the Hai village leaders said they were boycotting the national census in their areas of jurisdiction allegedly because Hai District Council were yet to pay them their outstanding allowances which they claimed were long overdue.
Mr Gama reiterated that helping census clerks during the exercise was part of their duties, as Government functionaries and that doing the contrary will be adduced to relinquishing part of their functions and that all avenues will have to be explored for immediate replacements.
However, it came to light that allowance claims was baseless as the Government commitment to pay allowances was effective this financial year and not to be disbursed retrospectively. However, Mr Gama has commended religious leaders for mobilizing their congregations to participate in the national census, which is intended to enable the Government to wisely plan for future development.
Mr Gama has also revealed that all was set for the census in Kilimanjaro region, saying a total of 3,357 centres were in place of which 2,279 were for short questionnaires, while 1,078 were set for long questionnaires.
He said 4,937 census clerks have been trained of whom 2,156 were assigned to conduct log questionnaires, while short questionnaires will be conducted by 2,279 clerks, adding that there will be 153 reserve clerks and 349 supervisors.
Mr Gama has urged the District Defence and Security Committees to ensure that peace prevails during the census exercise and that trouble-shooters should face the wrath of the law.
 
mbona hawajaja getto? mimi nakula kona bana kama vipi watanihesabu kwenye daladala. mia
 
Kumekucha,habari ndugu
Watanzania, jumapili safi napata ka breakfast taratibu, na check BBC
news nikisubiri makarani wa sensa. US astrounant Neil Armstrong dies,
scores of bodies found in Syria, tropical storm dumps rain
Cuba.......................... /Post Sensa update

huku sensa bado haijapita
 
Ni ujinga kwani hao walipotoka huko station hawajakata ticket??? Kwann wasichukua takwimu za kwenye Rail station?
 
Huku tumeambiwa na mwenyekiti wa serikali ya mtaa wataanza saa tatu. Nimeambiwa wataanzia nyumba yangu, hapa nipo nawaandalia chai kabisa.
 
[h=6]NIMEIPATA kwa watendaji wake ..."Asiekubali kuhesabiwa nyumbani kwake, atahesabiwa rumande"... Leonidas T. Gama![/h]
 
Ingependeza sana endapo hilo lingefanikiwa asiyetaka kuhesabiwa kwa hiari ahesabiwe kwa virungu akiwa rumande!
 
Back
Top Bottom