Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.
Unapaswa kuwa mkweli,sidhani kama takwimu za sensa za 2002 zilikuwa zinaonyesha idadi ya watu kwa pamoja na dini zao. Ninachofahamu ilikuwa zinaonyesha idadi ya watu pamoja na jinsia mf: wanawake na wanaume au watoto na watu wazima.
Mkuu naomba kumalizia, Masaburi yake.Halafu kutunga habari hujui. Kwenye heading umeandika 89%, kwenye habari kamili umeandika 88%. Mananii yako
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.
kwani wao waikiwa wenngi ndio sababu..mbona kigoma wapo kibao halafu upinzani kama kawaida..
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.
Nasktika watu walojaza samadi na makamasi humo vichwani mwenu mtakapoisha na kufutika juu ya uso wa sayari hii ndipo hapo Tanzania itakapoanza kujikongoja kuelekea na kuyafikia maendeleo.Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.
akina nani mkuu? funguka mwanawaniTumbo la kuhara linawasumbua baadhi ya watu humu ndani!!