Sengerema: CCM yazidi kupukutika, Mkiti ahamia chadema na wanachama zaidi ya 1000

Hayo mabadiliko yataletwa na Chadema, sitegemei haya Mahuni na mapumbavu kama yataweza kufanya hivyo hata kama tukiwa na Katiba mpya yataipindisha kwa kulinda maslai ya genge lao la kihuni (CCM). Kwa hiyo 2015 utoke na familia yako kwenda kuwatokomeza hawa Mahuni CCM

mkuu mzalendo mchakato wa katiba wenyewe ushaingiliwa na kirusi tangu hapo awali ila mm nko na uhakika mageuzi makubwa yanakaribia sema watawala hawataki kukubali ukweli huo na kitawaghalimu sna
 
wadau naomba nitoke nje ya mada kidogo mniwie radhi,hv watz tutakuwa serious kama wenzetu wakenya ln nilikuwa naangalia taarifa yao ya habari jioni hii citizen tv majaji watano wamepigwa chini kwa kuharibu kesi na bado tume inafanya uchunguzi atakae bainika hakuna cha msalia mtume anatupiwa virago nje yan imenitia hamasa sna hasa kwa judiciary ilivyo kwetu hpa tz majaji na mahakimu wako kulinda interest za wakubwa na wenye chao tu jaman hebu tuige jirani zetu wakenya kwa mazuri.asanteni kwa kunivumilia

Mkuu mbona kitu ulichochomekea ni kizuri tu?tena ningekushauri ukianzishie thread ili wachangiaji wawe wengi zaidi kwa mapana!
 
Hizi ni salam kwa bilionea ridh1, daddy wake na mafisadi wenzao.
Yale magereza wayaboreshe, kwani ndio patakuwa makazi yao ya kudumu.
 
Unajua huu ni upepo tu kwahiyo ndugu zangu msihofu unapita tu na hauna madhara.. hahahaha chi chi em, siku zingine mnafurahisha kweli mara ohh nguvu ya chama chetu kina nguvu huko chini mara chini kunapukutika sasa ohh hao ni sisimizi tu hajaguswa tembo hata mmoja.
 
Mkuu hao waliojiunga chadema ni kwa muda tu watarudi CCM ni sawa na Ngombe kwenda kutafuta majani na baada ya muda kurudi zizini.
 
Well said, Chadema wanajipa matumaini yasiyo na matumaini.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
well said, chadema wanajipa matumaini yasiyo na matumaini.
.
"wasiosoma ni chakula cha wasomi".

eeeeeeeh,haya endeleeni kujifariji na hayo mawazo yenu mfu hayo,cdm ni mwendo wa umeme ,ukishabatizwa kwa jina la peoples power hakuna kurudi nyuma
 
wadau naomba nitoke nje ya mada kidogo mniwie radhi,hv watz tutakuwa serious kama wenzetu wakenya ln nilikuwa naangalia taarifa yao ya habari jioni hii citizen tv majaji watano wamepigwa chini kwa kuharibu kesi na bado tume inafanya uchunguzi atakae bainika hakuna cha msalia mtume anatupiwa virago nje yan imenitia hamasa sna hasa kwa judiciary ilivyo kwetu hpa tz majaji na mahakimu wako kulinda interest za wakubwa na wenye chao tu jaman hebu tuige jirani zetu wakenya kwa mazuri.asanteni kwa kunivumilia

Mkuu hapa kwetu tukiendelea kwa style hii,itachukua muda mrefu sana kuwajibisha wanaokiuka sheria!!
Serikali ndio inayoongoza kukumbatia hawa wezi,badala ya kuwashikisha adabu!!problem kubwa hapa ni hizo attachment za vigogo wa juu zaidi!!!
 
wadau naomba nitoke nje ya mada kidogo mniwie radhi,hv watz tutakuwa serious kama wenzetu wakenya ln nilikuwa naangalia taarifa yao ya habari jioni hii citizen tv majaji watano wamepigwa chini kwa kuharibu kesi na bado tume inafanya uchunguzi atakae bainika hakuna cha msalia mtume anatupiwa virago nje yan imenitia hamasa sna hasa kwa judiciary ilivyo kwetu hpa tz majaji na mahakimu wako kulinda interest za wakubwa na wenye chao tu jaman hebu tuige jirani zetu wakenya kwa mazuri.asanteni kwa kunivumilia

Nilishawahi kusema humu, Kenya hawachanganyi profession na siasa, sisi mhandisi wa TENESCO anaambiwe apeleke umeme kwa wapiga kura wa eneo flani ili mbunge wa ccm asipoteze kiti, mbaya zaidi idadi ya watu wenye uwezo wa kuweka umeme hawazidi kumi.
 
wadau naomba nitoke nje ya mada kidogo mniwie radhi,hv watz tutakuwa serious kama wenzetu wakenya ln nilikuwa naangalia taarifa yao ya habari jioni hii citizen tv majaji watano wamepigwa chini kwa kuharibu kesi na bado tume inafanya uchunguzi atakae bainika hakuna cha msalia mtume anatupiwa virago nje yan imenitia hamasa sna hasa kwa judiciary ilivyo kwetu hpa tz majaji na mahakimu wako kulinda interest za wakubwa na wenye chao tu jaman hebu tuige jirani zetu wakenya kwa mazuri.asanteni kwa kunivumilia

wakati fulani tulikuwa juu ya Kenya kwa utu na intergrity lakini sasa hatuko popote na wala hatuwezi kujilinganisha na yeyote!! tupo tupo tu!!!!
 
Mkuu iko very clear Henry Kileo katibu wa CDM Mkoa (Kinondoni) anayeendesha mikutano pamoja na Lema huko Sengerema.

Hapo kwenye red ni mradi wa kupeana ulaji miongoni mwa watu wenye asili ya UKANDA MMOJA
 
Kumbe ni ulaji.....Tatizo la CCM kila kitu mnatanguliza pesa mbele ndiyo maana mnataka uchaguzi Arusha nili mpate kumalizia vibanda vyenu.....
 
Back
Top Bottom