Senetor is seriously sick

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jaman,mwenzenu nimeanza mwaka vibaya,malaria imenishka hadi najihc kufa..niombeen kwa mungu nipone haraka.
 
Pole Senetor.......usiache kunywa dawa kama daktari atakavyokuelekeza....
 
Inapofikia suala la Malaria, kila mtu hujifanya Daktari!
Nenda hospitali ukapime vipimo vyote muhimu, ili upate tiba sahihi, na si kukimbilia duka la dawa kununua Mseto!
 
Pole sana Mkuu. Mungu akusaidie upone haraka. Naona huu mwaka unaanza vibaya maana member wengi wanafall sick
 
Pole sana.

Afu siogope kufa ikifika siku utakufa tu hakuna ujanja hapo.
 
pole sana kiongoz.............kama umetumia dawa safi....sasa kunywa maji mengi sana.....
 
injection.jpg


POLE & GET WELL SOON SENETOR
 
Back
Top Bottom