SENDEU Analalamika hajalipwa

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Kipindi cha michezo (Spot) 09/10/2012 Radio one kinamkariri aliyekuwa msemaji wa Yanga Luise Sendeu akilalamika kwamba yeye na wenzake waliotimuliwa Yanga baada ya matatizo ya Mbeya na Morogoro, eti bado hajalipwa na wala barua ya kuondolewa katika uongozi bado hajapewe...
 
..Subiri mpaka huyo fisadi apige mzinga mwingine serikalini ndo watalipwa tena kwa mafungu..!! Kelele mingii, ohh mahela ya magogoni ya kumwaga, lakini hakuna kitu hapo.... ni blah blah tuu !! Na sasa eti shemegi ya Rz1 ndo mhasibu mkuu mpya... !!
Soon utasikia Shimbo naye ni seneta mpya !

Kipindi cha michezo (Spot) 09/10/2012 Radio one kinamkariri aliyekuwa msemaji wa Yanga Luise Sendeu akilalamika kwamba yeye na wenzake waliotimuliwa Yanga baada ya matatizo ya Mbeya na Morogoro, eti bado hajalipwa na wala barua ya kuondolewa katika uongozi bado hajapewe...
 
Kipindi cha michezo (Spot) 09/10/2012 Radio one kinamkariri aliyekuwa msemaji wa Yanga Luise Sendeu akilalamika kwamba yeye na wenzake waliotimuliwa Yanga baada ya matatizo ya Mbeya na Morogoro, eti bado hajalipwa na wala barua ya kuondolewa katika uongozi bado hajapewe...

Yanga kuna tatizo kubwa. Ipo siku litalipuka na kishindo chake kitakuwa kikubwa sana
 
Kipindi cha michezo (Spot) 09/10/2012 Radio one kinamkariri aliyekuwa msemaji wa Yanga Luise Sendeu akilalamika kwamba yeye na wenzake waliotimuliwa Yanga baada ya matatizo ya Mbeya na Morogoro, eti bado hajalipwa na wala barua ya kuondolewa katika uongozi bado hajapewe...
Msipoleta habari za Yanga hapa jukwaani hampatagi usingizi?
Kwanini mnanifatafata sana nyie watz?yani kisa Manji nimekua m/kiti sasa mnaniwekea mizengwe siyo.
 
Mnataka ziletwe habari zipi? Kwani nyinyi mlipowafukuza kwa mbwembwe mlifanya kisirisiri au kama kawaida kucheza na media, blah blah blah nyingi taratibu na kanuni sifuri. Subirini kitakachowakuta kile cha kadi tatu nyekundu cha mtoto, bado njoroge anakuja kwa kasi, bado papic anawahemea.
 
Back
Top Bottom