Sendeka yuko hapa airtel arusha na wapambe awazi wa mireran

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Wakuu sendeka yuko hapa airtel anapiga kampeni hivi arumeru mash inaishia wapi?
 
mwambie arudi terrat wanansubiri kule wakafanye mipango ya maendeleo. kwani kule watu hawana mbele wala nyuma
Wakuu sendeka yuko hapa airtel anapiga kampeni hivi arumeru mash inaishia wapi?
 
huyo maasai si ana bifu zito na mamvi huyo?

ila inaonekana kashtuka kuwa Sioi hana lake

magamba wengi wako Arusha kwa utalii wa kisiasa
 
Du!
Nani aliyemruhusu kupiga kampeni kwenye ofisi ya watu huyo?...Huwa huyo jamaa na limwili lake ni kama yuko mbele kwa dakika kadha, maana anakurupuka tu, na anajiona yuko juu ya sheriA!....zoba@jazzBand!
 
Back
Top Bottom