Sendeka awavaa wanaokingia kifua vigogo

Hapa JF Sendeka alikuwa anajulikana kama "mpiganaji" haya sasa mambo hadharani wengine tuliyaona haya siku nyingi....

Kaka,
Heri ya Krismasi.
Hata huku nyumbani JK alikuwa anajulikana kuwa ni "CHAGUO LA MUNGU."Lakini sasa mambo hadharani japo kuna tuliojua mapema kuwa Mkwere ni msanii!
 
Vichwa vya habari does matter Madilu especially kwenye jamii yetu ya wabongo...Unajuwa tena si kila mwananchi ana uwezo wa kusoma katikati ya mistari kwahiyo heading inaweza ikawa imebeba ujumbe halisi.
Sasa hapa kuna mada imeletwa ya kumfagilia Sendeka..Ukiingia na kusoma habari yenyewe ni tofauti...Kabla hata hatujaanza ku argue kama ni kivipi kina Mramba wawe na makosa na Mkapa asiwe nayo, tuanze kwanza kujiuliza ni kivipi amewavaa wanaowakingia vigogo kifua...Kwasababu si tuna akili timamu?
Ama si sawa na kuona mtu anayejidai anajuwa kusoma na huku gazeti kageuza upside down? Ama macho yangu?

Mushi,heri ya krismasi.
Hiyo heading imewekwa kama ilivyo kutoka gazeti la Nipashe.BAK amenukuu kama ilivyo.We can move beyond discussing the headline and focus on the content of the news,na ndio maana post ya pili ya BAK imem-criticize Sendeka.That's how I understood!
 
Mutu hakuna cha mtu kujitokeza umesha jitokeza tayari kwenye JF sasa nenda kwenye magazeti au wewe si mtu unataka mtu ajitokeze ?Watu wa JF bwana .Mkiambiwa siasa LIVE ni ngumu mnasema oh Lunyungu nachonga haya .

Notion ni kuwa ku set record clear kwa wananchi ambao hawana insight kuhusu hili, mimi na ww hapa tunajua na yeye pia anachua ila anapindisha tu mambo.Alipo ongea kwa media amewapata wengi wasiojua ambao hawagusi hapa JF pia.Kwa hiyo kuwaweka sawa wananchi wao ni anajibiwa kwa media pia ili kuwaosha akili waliolubuniwa si yeye ,yeye anajua zaidi ya hilo.

Umesema mtu wakufanya hivyo ni pamoja na mimi kweli mimi ntafanya navyoweza ila kuna wanasiasa kama yaye wakijibu hili lita tangazwa kwenye media,na litakuwa na attetion kubwa ,humu pia tunao.
 
Sasa Mh. Sendeka, naungana na wewe kuwa kukamatwa kwa vigogo hakuwezi kutikisa nchi. Lakini kauri yako yamwisho inaonyesha ni kweli kukamatwa kwa vigogo kutaitikisa nchi, nanukuu, ''Pili, alisema kumfikisha mahakamani rais mstaafu, linaweza kuwa jambo ambalo halina maslahi kwa hatima ya taifa''. Kauri hii inaonyesha wazi kuna hofu yakuwafikisha mahakamani baadhi ya vigogo wahalifu. Nawakilisha.
 
Mushi,heri ya krismasi.
Hiyo heading imewekwa kama ilivyo kutoka gazeti la Nipashe.BAK amenukuu kama ilivyo.We can move beyond discussing the headline and focus on the content of the news,na ndio maana post ya pili ya BAK imem-criticize Sendeka.That's how I understood!

Mlalahoi heri ya Krismasi na wewe pia....Nimekuelewa nashukuru.
Nadhani niko nyuma kidogo hapa lakini hakuna shida tusonge mbele....Tatizo ni kwamba before vichwa vya habari vilitegemea sana forum hii kwenye baadhi ya issue nyeti lakini this time ni the other way round...Ofcourse Nipashe siyo JF....May be thats why.
Hata hivyo nadhani kama watu walikuwa na uwezo wa kutembelea Nipashe sina shaka wana uwezo wa kutembelea hapa...So ni jambo la maana kuendelea na mjadala kinyume nyume yaani tofauti na heading hadi hapo watakapobadili.
Once again nashukuru na tuko pamoja.
JF MBELE.
 
Back
Top Bottom