Semina ya Maafisa Maendeleo ya Jamii - Arusha

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Semina hiyo inashirikisha wajumbe toka wilaya za LUSHOTO,HAI,HANDENI,SIMANJIRO NA MANISPAA YA ARUSHA.Jumla ya wajumbe ni zaidi ya 120,ambao watalipwa Tsh 65000 kwa siku kwa siku 14.
Kama mjumbe ameenda na mtoto mchanga,nae hulipwa 32500(mtoto) kwa siku.
Moja ya agenda/somo ni MPANGO WA UWEZESHAJI HAKI JAMII.
 
Kumbe kidogo namna hiyo? Nilifikiri ni kama posho zile za waheshimiwa?
 
Hizo pesa zingeweza kununua majembe ya kukokotwa na ng'ombe kiasi kadhaa
 
Wakimaliza hiyo semina,ipo tija yoyote itakayopatikana kweli?anyway ndo kula yao hiyo!
 
mmmh!
hizi semina si zilikatazwa na mtoto wa mkulima sasa hawa hawamuogopi ?
 
Back
Top Bottom