Wana jf mnaonaje tukitengeneza grouops kutembelea vijijini ili kutoa elimu ya uraia, na kuwa wezesha wananchi walio kosa elimu hiyo kuwa nayo, nadhani ndio yatakuwa mapinduzi ya kweli, ili raia wajue kiongozi bora na nini anatakiwa kufanyiwa na kiongozi wake..ila kama itawezekana tuanze baada ya uchaguzi katika maeneo tulipo then tusambae,..nimegundua wananch wengi hususani vijijini hawajui haki zao kwa viongozi wao...mapinduzi kwa wenye nia,hutetea sauti za wanyonge