Semina semina semina ya mwakasege:jangwan frm 23 -30sep12:!yoh 21:17 yesu akawaambia lisha kondoozan

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,883
21,957
Semina ya mtumishi wa mungu chritopher mwakasege
imeanza uwanja wa jangwani kuanzia 23 sep -30 sep 12
ewe mpendwa ukipata muda nenda ukapate neno la mungu
ukaponywe ....
Neno kuu

yoh 21:17

yesu akawaambia lisha kondoo zangu ...ni wakati wako sasa
ukapate neno la mungu na wewe ukalishe kondoo wako ....
 
ata wewe pdid umeokoka!!kweli siku izi dini zimekuwa dili na usikute na wewe utatoa mabiri.
 
Back
Top Bottom