Elections 2010 Semina kwa watangazaji wa redio juu ya habari za UCHAGUZI

Very good! Tatizo la waandishi wetu na wananchi wengi ni kutothamini utu wao, wengi huuza utu na ustaraabu wao kwa pesa na ahadi za kupatiwa vyeo, n.k.

Nani angelitegemea Salva Rweyemamu wa 1997 angekuwa huyu wa 2010?
 
Mtumieni kibonde mganga njaa. Nasikia amepewa hela na uvccm ili wa mis lead wananchi wakati wa campaign kuhusu wapinzani
 
Mh, najua mnao marafiki wanaofanya kazi vituo vya redio... Wasambazieni
 
Back
Top Bottom