Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Kati ya mapungufu hayo yote, kutokana na hapo kwenye RED, wala usitegemee kuona hata mbunge wetu mmoja hapo kwenye semina elekezi japo wanahitaji kweli mafunzo haya lakini bila POSHO nakuambia hapo ni allergy tupu kwao.
Wazo zuri ,ila semina Elekezi yako ina mapungufu yafuatayo:
1-Semina yako haina Seating Allowance wala Per Diem
2-Semina ili iwe Elekezi lazima Mkuu wa Kaya awepo
3-Kumbuka uongozi unaupata kwa Kujuana na siyo kwa uwezo mzuri kitendaji ila kwa uwezo mzuri ktk Ku-Network
4-Tunafanya maamuzi kisiasa zaidi.
5-Viongozi huwa hawawajibishwi na waliowatuma-i.e Wanainchi ila wanawajibishwa na wanasiasa wenzao
Mtoa mada mawazo yako yanafaa ktk nchi kama Rwanda ,Botswana na nchi zingie nje ya Africa.